Daz Baba siku hizi anakunywa Sana Pombe, kaisha kweli

ni kweli lakini kuna initiative/external force huwa ina saidia kiasi fulani, binadamu tunategemeana kwa namna moja au nyingine, wenye kuweza kumsaidia wamsaidie.

Extenal force labda jela. Lakini mwanzo ni wewe mwenyewe unatakiwa kutambua kwamba mimi nina tatizo na hii level niliyofikia I can't do it by myself, nahitaji msaada. Ndio hapo unatakiwa kuwa wazi kwa kila kitu na wataalamu wanafikiria wakusaidie vipi.
Nasema hivyo kwasababu personalisaly I have an addiction, I can't hide it. Ukiniangalia huwezi jua kwasababu I look healthy and I'm very responsible man, lakini ukweli najua nina tatizo. Tatizo langu ni kwamba when I start, I can't stop. I want to be high all the time, yaani ile never sober. Kwahiyo the solution kwangu mimi wanasema don't start.
Hakuna kitu ngumu kama ukiwa addicted, uko alone na unapesa mfukoni. Lakini I'm going strong day by day. Najua nitaenjoy kuwa high nikiwa holiday na marafiki then back to normal
 
Extenal force labda jela. Lakini mwanzo ni wewe mwenyewe unatakiwa kutambua kwamba mimi nina tatizo na hii level niliyofikia I can't do it by myself, nahitaji msaada. Ndio hapo unatakiwa kuwa wazi kwa kila kitu na wataalamu wanafikiria wakusaidie vipi.
Nasema hivyo kwasababu personalisaly I have addiction, I can't hide it. Ukiniangalia huwezi jua kwasababu I look healthy and I'm very responsible man, lakini ukweli najua nina tatizo. Tatizo langu ni kwamba when I start I want to be high all the time, yaani ile never sober. Kwahiyo the solution kwangu mimi wanasema don't start.
Hakuna kitu ngumu kama ukiwa addicted, uko alone na unapesa mfokoni. Lakini I'm going strong day by day. Najua nitaenjoy kuwa high nikiwa holiday marafiki then back to normal

ni kweli, na amini wengi wanajua wapo na tatizo na wanatamani kuongea na mtu fulani ili kwa msaada, tatizo linakuja kwenye jamii yetu hasa kwa upande wa kiumeni…..kuna utamaduni mwanaume mwenzako akija kukwambia udhaifu wake unamuona mdhaifu na kuanza kumJudge,

ila kumbe ni msaada tu anahitaji either wa kusikulizwa tu au kupewa msaada kabisa, wengi wanaamua kukaa kimya na kuendelea kujimaliza taratibu.

hakuna mtu ambae hana utashi kabisa wa kutambua jema na baya, jinsi ya kukabiliana nalo tu ndio tatizo lenyewe.
 
Daah inasikitisha sana bongo tumepoteza vipaji vingi sanaa sababu ya pombe na unga,tukianza kuhesabu tutajaza humu.

Hivi mnamkumbuka buibui?
 
Daz Baba nimeshakua mtu mzima mimi, sasa nahitaji mrembo wa kuishi nami... Kuzaa na kulea watoto nami... Kwenye shida na raha avumilie nami...
Asinifanyie kama yale ya baruaa,,,
ikasababisha nikaja kujiuaa,,,
anipe mapenzi,,nimpe mapenzi,,nae ayaenzi asinifanyie ushenzi,,

nashukuru kummpataaa,,,
 
Unajuaje kama ni pombe ndiyo inamlostisha, vijana wengi haswa hawa wasanii wa bongo fleva wengi wao ni mateja tu
Daz baba ngada hali sema pombe ndo anapiga mbaya hadi kwenye interview anaenda kalewa, kuna interview moja ya global media alienda kalewa na interview ikapandishwa hewani ivyo ivyo na YouTube mkiingia ipo hadi najiuliza sometimes media nazo tatizo uwa zinatafuta content hadi kwenye matatizo , kwa mfano GODZILLA naye mara ya mwisho kabla ya mauti alikuwa analewa sana hadi kwenye interview ya mwisho clouds redio alienda amelewa na kipindi kikaendeahwa ivyo ivyo uku wakina Adam mchomvu wanamcheka na kumkejeli aisee izi media sometimes wanachangia matatizo ya wasanii
 
Media za kibongo ni za kijinga haswa watangazaji wao. Kuna kademu wannabe ka Clouds media kanaitwa "Dolly au Jolly," kanaboa kishenzi. Yaani anatangaza kama vile hajitambui anaongea na watanzania wenzake ambao 99% ni Waswahili, yeye anatumia Kiingereza tena kile broken halafu anaona ujiko, anaweka r hata sehemu isiyo na r, mwenyewe anadai ni swagga, is she for real? Watangazaji wapuuzi kama hawa wako wengi mno hapa Bongo, full michosho tu.
 
Tatizo kubwa linapoanzia kwa hawa vijana wetu ni kuwa wakishaanza kuimba imbi na kijipatia umashuhuri mdogo tu Pombe, Bangi na Unga huo ndio kula yao, acha yawakute tu. Wanashindwaje kufanya sanaa huku wakiwa na maisha ya kistaarabu?

Hili ni tatizo dunia nzima. Angalia T-shirt aliyovaa halafu mtazame vizuri Hugo dogo
 
Daz baba ngada hali sema pombe ndo anapiga mbaya hadi kwenye interview anaenda kalewa, kuna interview moja ya global media alienda kalewa na interview ikapandishwa hewani ivyo ivyo na YouTube mkiingia ipo hadi najiuliza sometimes media nazo tatizo uwa zinatafuta content hadi kwenye matatizo , kwa mfano GODZILLA naye mara ya mwisho kabla ya mauti alikuwa analewa sana hadi kwenye interview ya mwisho clouds redio alienda amelewa na kipindi kikaendeahwa ivyo ivyo uku wakina Adam mchomvu wanamcheka na kumkejeli aisee izi media sometimes wanachangia matatizo ya wasanii
Masikini Godzilla,king of Salasala,kuna Den anaitwa Doreen aka D Andy,alimpa stress sana mshikaji hadi kupelekea umauti wake!!
 
Two weeks ago nilikuwa Chuo cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na Event ya vipaji na ndipo nilikutana na Daz Baba Aisee huyu Jamaa amechoka Sana nadhani Pombe ndo zimemmaliza.

Kiufupi wasanii Kama hawa Kina Daz-Baba Walioimba nyimbo nzuri za kuhelimisha jamii wanabidi wakumbukwe na kusaidiwa.

Daz Baba A.k.A Daz Mwalimu punguza Pombe.

Pia huyu Daz Baba Nilikutana naye 2019 Tabata Kimanga kwao ukweli Bado hali yake sio nzuri kiukweli.
We jina tu lenyewe unaona limekaaje??? Haya majina mara DAZ NUNDA.....DAZ BABA ......hayana upako. Mwisho lazima uwe hivyo.......
 
Two weeks ago nilikuwa Chuo cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na Event ya vipaji na ndipo nilikutana na Daz Baba Aisee huyu Jamaa amechoka Sana nadhani Pombe ndo zimemmaliza.

Kiufupi wasanii Kama hawa Kina Daz-Baba Walioimba nyimbo nzuri za kuhelimisha jamii wanabidi wakumbukwe na kusaidiwa.

Daz Baba A.k.A Daz Mwalimu punguza Pombe.

Pia huyu Daz Baba Nilikutana naye 2019 Tabata Kimanga kwao ukweli Bado hali yake sio nzuri kiukweli.
Fanya mambo yako

pombe ni zake wewe unaumia nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom