Nafikiria kuanzisha day care hapa Dar lengo hasa likiwa ni kwa ajili ya watoto ambao hawajaanza shule.
nimepata tu wazo ila kwa kweli sijui ni wapi ntatakiwa kuanzia namaanisha kwa vitu kama kujua mambo gani ya muhimu ya kuzingatia,leseni,location,changamoto na mtaji wa kuanzia unawezagharimu kiasi gani?Je inaweza kunilipa hii?
nakaribisha mchango wenu wanajf