Day to approach a girl

Good Guy

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
4,541
Likes
118
Points
160

Good Guy

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
4,541 118 160
Guys do you know what day is the best day to approach a girl.It's April fools day,Why you ask.If she refuses you tell her 'fooled you fool' if she accepts then its your lucky day.Cheers
 
Good Guy

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
4,541
Likes
118
Points
160

Good Guy

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
4,541 118 160
i think he knows is AIDS day today...
lakini si lazima kila mtu aanzishe thread kuhusu AIDS...
So true Afrodenzi.
Uko sawa mnoooooo!!, miss pirate. Wabongo muda wote tunafikiria ngono!!!!, tumelogwa?????????????????!!!!!!!!!!!!!!
Nadhani hujaona thread ya m2 nyuma hapo kidogo anasaka majimama.
 
cheusimangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Messages
2,590
Likes
12
Points
0

cheusimangala

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2010
2,590 12 0
Guys do you know what day is the best day to approach a girl.It's April fools day,Why you ask.If she refuses you tell her 'fooled you fool' if she accepts then its your lucky day.Cheers
inaonesha hujiamini.
kwa hiyo ukimuona mrembo anapita na hujui utampataje tena,utasubiri hadi april fool ndo ukamtafute.
jiamini baba kila siku ni siku nzuri,kila saa ni saa nzuri na kila sehemu ni sehemu nzuri cha msingi kujiamini tu.
 
Good Guy

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
4,541
Likes
118
Points
160

Good Guy

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
4,541 118 160
inaonesha hujiamini.
kwa hiyo ukimuona mrembo anapita na hujui utampataje tena,utasubiri hadi april fool ndo ukamtafute.
jiamini baba kila siku ni siku nzuri,kila saa ni saa nzuri na kila sehemu ni sehemu nzuri cha msingi kujiamini tu.
Sometimes well you just have to wait for April fools.Cause you may end up slapped and taking more insults than sand in a beach.Trust me girl i've seen it.
 
cheusimangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Messages
2,590
Likes
12
Points
0

cheusimangala

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2010
2,590 12 0
Sometimes well you just have to wait for April fools.Cause you may end up slapped and taking more insults than sand in a beach.Trust me girl i've seen it.
unaona sasa,kubali kwamba hujiamini ili nipate sbb ya kukuruhusu usubiri april fool ambayo pia unaweza kuishia na vibao na matusi vilevile.
NARUDIA:jiamini baba!
 
Anfaal

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Messages
1,157
Likes
6
Points
0

Anfaal

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2010
1,157 6 0
Guys do you know what day is the best day to approach a girl.It's April fools day,Why you ask.If she refuses you tell her 'fooled you fool' if she accepts then its your lucky day.Cheers
Inategemea na mtu mwenyewe, wengine ni mwisho wa mwezi
 
GFM

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
708
Likes
3
Points
0

GFM

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
708 3 0
i think he knows is AIDS day today...
lakini si lazima kila mtu aanzishe thread kuhusu AIDS...
Wabongo lazima ku-copy............wewe ukianzisha biashara
ya kuuza samaki, sijui taxi bubu na mie humohumo ..........hahah
 
afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
18,154
Likes
2,451
Points
280

afrodenzi

Platinum Member
Joined Nov 1, 2010
18,154 2,451 280
Wabongo lazima ku-copy............wewe ukianzisha biashara
ya kuuza samaki, sijui taxi bubu na mie humohumo ..........hahah
ahhhh bwana ae ...mi yamenichosa ndo maana hatuendelei kabisa....
utakuta kwente st. moja kuna maduka sita....
kama mmoja akifungua duka, mweingine kinyozi, mwinginw Dobi...etc..
kwani kunashidagani??
 
Good Guy

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
4,541
Likes
118
Points
160

Good Guy

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
4,541 118 160
anaelezea jinsi wa Bongo walivyozoea ku copy vtu.....
ndo maana kuna waheshimiwa hapo awali hawakufurahia we ulivyo anzisha hii thread....
walitaka uandike mambo ya AIDS .........
hope umenielewa kidogo...
Yeah nimeelewa,but it's just like what u said.Niliona kujaza page nzima ya mahusiano na AIDS KILL AIDS KILL AIDS KILL sio issue.sorry kama nimewakwaza.
 
Forum statistics

Threads 1,204,134
Members 457,147
Posts 28,142,546