ERICK YUSTO
JF-Expert Member
- Jul 19, 2012
- 207
- 51
In this week mambo yanaweza kuwa hadharani..Abdu Wakili kwa wale wasiomjua ni mzee wa hekima na busara na anayependa kunyoosha mambo..lakini kumbukeni bajeti ilishapita ya serikali kwaiyo cdhani kama suala la kurudia usaili lipo mana hilo fungu sijui litatoka wapi..mwaka jana wizara iliomba fedha za kuendesha mchakato wa kuajiri vijana 270 na fungu likaja la bajeti ya 2013/2014..sasa bajeti ya juzi ni ya vijana 270 wakiwa mafunzo kwa takribani miezi 9 hadi 10..sasa ukianza mchakato wa usaili upya na kuanza kuunda kamati na kulipia ukumbi kama kule baraza kuu la maaskofu ni pesa ya serikali ambayo haikuwepo kwenye bajeti..kwa fikra zangu ni kuwa kama kuna watu walipendelewa hapo watolewe then nafasi hizo ziachwe wazi waje wazitangaze ajira mpya mwakani then wale walionesha kuwa walipita kwa sifa stahiki na walikuwa na vigezo vyote wapewe haki yao..unapozungumzia haki itendeke ni pamoja na kutoa waliopendelewa na kuacha waliopita kwa haki..sheria ni msumeno.