wakuu,
labda wewe ni mkazi wa mlandizi, kibaha, kibamba, mbezi kimara, tabata na hujapata maji kwa wiki ya tatu sasa, na tena ugumu wa kukosa maji hujausikia vema kwa kuwa unapata maji ya mvua, lakini mvua zinaisha wiki hii na kiama kinafuata
1 hoja kuwa mafuriko ndo yanasababisha ukosefu wa maji toka chanzo cha ruvu juu hayana mashiko, mwenyewe nimetembelea pale kabla ya mafuriko na hadith yenyewe ndo hiii
ulifanyika ukarabati mkubwa wa kufunga mitambo mipya ya kupeleka umeme pale, kampuni kubwa ya siemen ndo ilifunga tranfoma kubwa sana pale, lengo ikiwa baada ya kufunga transfoma wangefunga pampu mpya zenye uwezo wa kusukuma angalau lita milioni mia tano badala ya lita 80m za sasa.
kwa sasa pump hizi za zamani ziko 4 na zina uwezo wa kusukuma lita hizo 80m kama zote zitafanya kazi, ni za zamani sana labda za miaka 70, hazijawahi kufanya kazi zote nne sana sana huwa zinakuwa nzima 2 kati ya 4!
kwa mategemeo makubwa zikaagizwa pump 2 kubwa baada ya ukarabati, kama kawaida ufusadi ukaingilia kuja kuzifunga badala ya kusukuma lita 500m kumbe hata lita 30m haziwezi, mabilioni yakatumika sasa zimefunguliwa ziko pembeni (waandishi wa habari mnaweza kwenda kuziona na kuzipiga picha pale mlandizi!!!!
sasa pump zile za zamani ndo zinatumika na ukarabati wa kila mara umekuwa jambo la kawaida, hazina uwezo hata wa kujaza matangi ya kimara, wakazi wa morogoro road sahauni kuhusu kupata maji.
madudu ya dawasco ni mengi, nakuomba mods huu uzi usiondoe labda wakubwa watauona na kujua nini kinaendelea