Dawasco wana akili timamu???kweli

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
38,388
Likes
7,329
Points
280

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
38,388 7,329 280
Mteja bill yako ya nov 2010 a/c 00000000 ni 34,000 unadaiwa jumla ya sh 84,000 tafdhali lipa deni lako dawasco kupitia nmb;acb#######

jamani embu tuambieni wapendwa nina miezi 3 wamekata maji na mpaka sasa nadaiwa 84,000 sasa mwezi wa tatu natumiwa hito bill mpaka naogopa hawa jamaa wana akili kweli na kwa mtaji huu wanalipa wangapi pesa hewa au ndio milo ya watu guys soma mita yako ndio ulipe huku kimara wanawalitesa kweli
 
mams

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2009
Messages
616
Likes
8
Points
35

mams

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2009
616 8 35
Mteja bill yako ya nov 2010 a/c 00000000 ni 34,000 unadaiwa jumla ya sh 84,000 tafdhali lipa deni lako dawasco kupitia nmb;acb#######

jamani embu tuambieni wapendwa nina miezi 3 wamekata maji na mpaka sasa nadaiwa 84,000 sasa mwezi wa tatu natumiwa hito bill mpaka naogopa hawa jamaa wana akili kweli na kwa mtaji huu wanalipa wangapi pesa hewa au ndio milo ya watu guys soma mita yako ndio ulipe huku kimara wanawalitesa kweli
Kuletwa bill siyo lazima ulipie hicho kiasi. Nenda kaweleze ofisini kwao pale Kimara na nina imani watakusikiliza na utalipa kile unachostahili kulipa.

Ikishindikana lete hapa jamvini tujadili
 
Forum statistics

Threads 1,204,831
Members 457,566
Posts 28,171,887