Danken Mbombo
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 651
- 339
Imekuwa kawaida kwa DAWASCO kutotoa maji siku za sikukuu za Krismas. Wakazi wa Tabata-Bima hatujapata maji tangu tarehe 16-12-2016 hadi tarehe 26-12-2016 tena maji yalitoka mchana. Hii si mara ya kwanza kukosa maji siku za sikukuu za Krismas. Hawaoni hata haja ya kutoa taarifa yoyote kuhusu kukosekana maji…KULIKONI DAWASCO ?