DAWASCO waanzisha huduma ya kuunganishiwa Maji kwa Mkopo kwa wenye uwezo Mdogo

Na pia nmeenda DAWASCO-KIMARA (timu ya watu kumi na zaidi serveyor tuliempata kasema HAKUNA KITU CHA BURE tukamwambia mbona sio bure ni mkopo ambao tutaulipa? kasepa bila kutuskliza. sasa naona hii huduma kama vile dana dana mtuambie ukweli tunateseka
 
Ukonga na maeneo yake mtafika lini ?

View attachment 507301
Picha ni Mwananchi Kimara Bonyokwa akiwa wameanza kupata huduma ya Majisafi kwa mkopo toka DAWASCO.

Huduma ya maji kwa mkopo ni kampeni iliyoanzishwa na Dawasco kwa lengo la kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma ya Majisafi bila kujali kipato chao

Watu wote wenye uwezo mdogo wa kuunganisha maji, tembeleeni Ofisi za DAWASCO ili waweze kusaini mkataba wa maunganisho mapya ya maji kwa gharama nafuu na kulipa kidogo kidogo.

Kuna kampeni inafanywa na DAWASCO ya ''Mama Tua Ndoo' ndani ya siku 90. Malengo ni watu 151,000 wauunganishiwe maji hata kwa mkopo wa miezi 12.

Mteja wa DAWASCO, atafungiwa huduma ya Maji safi kwa mkopo ambapo atatakiwa kulipa gharama hizo kidogo kidogo mara baada ya kuanza kupata Maji. Hivyo wananchi wanahimizwa kujitokeza kwa wingi kupata maji.

Kwa Mawasiliano, Ushauri na Maswali na mapendekezo, Usisite kuwapigia DAWASCO kupitia namba: 0800110064.

Namba hii ni bure.

Ukonga na maeneo yake mtakuja lini?
 
Madale mivumoni Kule kuna nyumba tunahitaji maji.inakuajje huduma hyo IPO?
 
View attachment 507301
Picha ni Mwananchi Kimara Bonyokwa akiwa wameanza kupata huduma ya Majisafi kwa mkopo toka DAWASCO.

Huduma ya maji kwa mkopo ni kampeni iliyoanzishwa na Dawasco kwa lengo la kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma ya Majisafi bila kujali kipato chao

Watu wote wenye uwezo mdogo wa kuunganisha maji, tembeleeni Ofisi za DAWASCO ili waweze kusaini mkataba wa maunganisho mapya ya maji kwa gharama nafuu na kulipa kidogo kidogo.

Kuna kampeni inafanywa na DAWASCO ya ''Mama Tua Ndoo' ndani ya siku 90. Malengo ni watu 151,000 wauunganishiwe maji hata kwa mkopo wa miezi 12.

Mteja wa DAWASCO, atafungiwa huduma ya Maji safi kwa mkopo ambapo atatakiwa kulipa gharama hizo kidogo kidogo mara baada ya kuanza kupata Maji. Hivyo wananchi wanahimizwa kujitokeza kwa wingi kupata maji.

Kwa Mawasiliano, Ushauri na Maswali na mapendekezo, Usisite kuwapigia DAWASCO kupitia namba: 0800110064.

Namba hii ni bure.
Mbezi Makabe mtaaanza lini kutuunganishia maji??..

mliahidi mpaka mwkaa jana mwishoni mngeunganisha maji lakini mpaka leo tunaona kimya tu .
 
Dawasco mlitakiwa mfunge maji tu kila nyumba na yanapofungwa afisa wenu anakuwepo hapo na kusaini mikataba. Acheni ukiritimba wa kizamani wa watu mpaka waje ofisini kwenu. Mambo hayo ya kizamani hayana mpango.

Mnataka waje huko kufanya nini? Zaidi ya ukiritimba usio na mpango tu.

Maji ni lazima kila nyumba yawe nayo, si mfunge tu mabomba kila nyumba.
Mwezi Mzima Nilioingia Jf Sijaona Point Safi Kama Yako Dada
 
View attachment 507301
Picha ni Mwananchi Kimara Bonyokwa akiwa wameanza kupata huduma ya Majisafi kwa mkopo toka DAWASCO.

Huduma ya maji kwa mkopo ni kampeni iliyoanzishwa na Dawasco kwa lengo la kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma ya Majisafi bila kujali kipato chao

Watu wote wenye uwezo mdogo wa kuunganisha maji, tembeleeni Ofisi za DAWASCO ili waweze kusaini mkataba wa maunganisho mapya ya maji kwa gharama nafuu na kulipa kidogo kidogo.

Kuna kampeni inafanywa na DAWASCO ya ''Mama Tua Ndoo' ndani ya siku 90. Malengo ni watu 151,000 wauunganishiwe maji hata kwa mkopo wa miezi 12.

Mteja wa DAWASCO, atafungiwa huduma ya Maji safi kwa mkopo ambapo atatakiwa kulipa gharama hizo kidogo kidogo mara baada ya kuanza kupata Maji. Hivyo wananchi wanahimizwa kujitokeza kwa wingi kupata maji.

Kwa Mawasiliano, Ushauri na Maswali na mapendekezo, Usisite kuwapigia DAWASCO kupitia namba: 0800110064.

Namba hii ni bure.

Kama ninahitaji hayo maji nayapataje?
 
SISI MAKOKA KISUKURU KWA MKUWA MNATUFIKIRIAJE MAANA TUMEACHWA KAMA KISIWA VILE. MAJI YALIYOTOKEA MAKOKA MWISHO YAMEISHIA KWA KISANGA. MAJI YALIYOTOKA MAJI CHUMVI YAMEISHIA SHULE YA MOUNT ZION YAKAELEKEA JUMBA LA DHAHABU. SISI TULIOBAKI HAPO KATIKATI KWANZA TUPO TAYARI KULIPIA KUUNGANISHIWA BILA HATA YA MKOPO. TUMESHALIPA NA RISITI TUNAZO TOKA MWAKA JANA MWISHONI. SURVEYOR AMESHAPITA MARA KIBAO HAKUNA CHA MAANA. TUMESHAEENDA KWA MENEJA WA TABATA MARA KIBAO LAKINI HAKUNA JIBU LOLOTE LA MAANA. KWA HIYO TUNAOMBA MUKURUGENZI WA DAWASCO ENGINEER LUHEMEJA KAMA YUPO JAMII FORUMS AFIKE MAKOKA KWA MKUWA LABDA TUTAPATA MAJI.
 
tafadhali wasiliana na kituo cha Dawasco Kimara kwa simu namba 0743 451865
Tulijiandikisha serikali ya mtaa ili iwe rahisi kutandaza bomba kubwa, Huoni kama utaratibu huu ni nzuri kuliko mteja mmoja mmoja kuja ofisini kwenye.
 
View attachment 507301
Picha ni Mwananchi Kimara Bonyokwa akiwa wameanza kupata huduma ya Majisafi kwa mkopo toka DAWASCO.

Huduma ya maji kwa mkopo ni kampeni iliyoanzishwa na Dawasco kwa lengo la kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma ya Majisafi bila kujali kipato chao

Watu wote wenye uwezo mdogo wa kuunganisha maji, tembeleeni Ofisi za DAWASCO ili waweze kusaini mkataba wa maunganisho mapya ya maji kwa gharama nafuu na kulipa kidogo kidogo.

Kuna kampeni inafanywa na DAWASCO ya ''Mama Tua Ndoo' ndani ya siku 90. Malengo ni watu 151,000 wauunganishiwe maji hata kwa mkopo wa miezi 12.

Mteja wa DAWASCO, atafungiwa huduma ya Maji safi kwa mkopo ambapo atatakiwa kulipa gharama hizo kidogo kidogo mara baada ya kuanza kupata Maji. Hivyo wananchi wanahimizwa kujitokeza kwa wingi kupata maji.

Kwa Mawasiliano, Ushauri na Maswali na mapendekezo, Usisite kuwapigia DAWASCO kupitia namba: 0800110064.

Namba hii ni bure.

Ni maelekezo ya Makonda kuunganisha maji kwa mkopo kwa wasio na uwezo kwa sasa.
 
SISI MAKOKA KISUKURU KWA MKUWA MNATUFIKIRIAJE MAANA TUMEACHWA KAMA KISIWA VILE. MAJI YALIYOTOKEA MAKOKA MWISHO YAMEISHIA KWA KISANGA. MAJI YALIYOTOKA MAJI CHUMVI YAMEISHIA SHULE YA MOUNT ZION YAKAELEKEA JUMBA LA DHAHABU. SISI TULIOBAKI HAPO KATIKATI KWANZA TUPO TAYARI KULIPIA KUUNGANISHIWA BILA HATA YA MKOPO. TUMESHALIPA NA RISITI TUNAZO TOKA MWAKA JANA MWISHONI. SURVEYOR AMESHAPITA MARA KIBAO HAKUNA CHA MAANA. TUMESHAEENDA KWA MENEJA WA TABATA MARA KIBAO LAKINI HAKUNA JIBU LOLOTE LA MAANA. KWA HIYO TUNAOMBA MUKURUGENZI WA DAWASCO ENGINEER LUHEMEJA KAMA YUPO JAMII FORUMS AFIKE MAKOKA KWA MKUWA LABDA TUTAPATA MAJI.
mradi wa Maji makoka unategemea kuanza mwezi July mwaka huu. hivyo huduma ya Majisafi itaanza kupatikana miezi michache mbeleni
 
Baada ya kutuibia vya kutosha kwa kutuongezea bili za Maji.....sasa mmekuja kutukopesha na hela zetu hizo hizo!!!? Kuweni makini. Awamu hii sio.
 
mradi wa Maji makoka unategemea kuanza mwezi July mwaka huu. hivyo huduma ya Majisafi itaanza kupatikana miezi michache mbeleni

Mkuu,

Umeulizwa kuhusu huduma ya maji huku Mbezi makabe kipande cha Msakuzi hujatoa jibu. Huduma hii lini itafika maana ni longo longo mwaka wa tatu sasa.
 
Back
Top Bottom