Dawasco toka juzi hakuna maji Halmashauli yote ya Mlandizi na hakuna taarifa!

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Hawa Dawasco sasa wameanza kiburi!

Leo ni siku ya tatu maeneo ya Visiga,Misugusugu hadi Mlandizi hakuna maji na hakuna taarifa yeyote toka Dawasco!

Huo si uungwana!
 
Maji kwa ajili ya Mlandizi mitambo ilipo hayatoki... ila Dsm maji bwerere
 
Back
Top Bottom