johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,035
- 164,333
Ni takribani wiki mbili sasa wakazi wa tegeta masaiti hadi ununio tumekuwa na shida kubwa ya maji. Cha kushangaza hakuna taarifa yoyote ya katizo kubwa la maji iliyotolewa na dawasco so far. Napenda kumkumbusha MD kijana wa Dawasco atimize ahadi aliyoahidi kupitia kipindi cha kipimajoto ITV, kwamba angemaliza tatizo la maji jijini. TUNAUMIA sana kwa kukosa maji majumbani na hizi sikukuu!!!