DAWASCO Tabata mmeshindwa kazi

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,038
10,684
Hawa jamaa wa DAWASCO Tabata (Shule) wamekuwa kero kubwa, licha kuwaripotia kuwa watu wamekata mabomba na kujiunganishia na kuchota maji bure lakini hakuna wanachofanya.Ila gari lao linapita kila uchao na mafundi. Na hivi karibuni mwezi wa nane (Agosti 2013) nimelipia kuunganishiwa maji lakini mpaka sasa miezi minne hawajafanya lolote zaidi ya kupiga tarehe..,mara vifaa mara mafundi wana dharura mara vile usanii mtupu.....Hata ukilpigia meneja wao nae anapiga 'saundi 'tu. Mlioko juu yao wamlikeni watu hawakuondoa hii KERO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom