....watakujibu basii !? Anae'endesha hii account yumo kwenye likizo ya uzazi.Leo ndio nimejua wizi wenu nyie jamaa
Nina mita 2
1 imetumia unit 8 inadaiwa 20elfu
2 imetumia unit 24 inadaiwa 40elfu
Unit 1 mnauza Shilingi ngapi???
Ununio mnara wa Tigo hatuna maji siku ya 4 leo tatizo ni nini? Sisi tunahudumiwa na ofisi ya Boko!Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.
Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)
DAWASCO HUDUMA KWA WATEJA 0800110064
DAWASCO ILALA 0743 451879
DAWASCO KAWE 0743 451861
DAWASCO KIBAHA 0743 451875
DAWASCO KIMARA 0743 451865
DAWASCO KINONDONI 0743 451863
DAWASCO BAGAMOYO 0743 451877
DAWASCO MAGOMENI 0743 451862
DAWASCO TEGETA 0743 451881
DAWASCO TABATA 0743 451867
DAWASCO TEMEKE 0743 451866View attachment 721128
...wanashinda jamii forum na insta, wanafuatilia issue ya ambaruti !Mnajisikiaje mko maofisini huku maeneo mengi ya jiji hasa wilaya ya Ilala na Temeke hakuna miundo mbinu yenu tokea uhuru?
...walime memo ya mwanasheria wako, kisha ibaki kama ushahidi wako.Nyie dawasco mnafanya kazi kwa mazoea sana, mm nilibambikiwa bili ya 1.6 mil mwaka jana Nov lkn mpaka leo Nov 2018 nafuatilia warekebishe hakuna linalofanyika ni ahadi tuu mara kesho. Nawaambia kuna watu hapo mtapoteza ajira nikiamua kwenda kwa waziri. Account yangu ni 900343431, rekebisheni kabla sijakasirika zaidi. Luhemeja aone hii!