Mandison
Senior Member
- Mar 10, 2017
- 191
- 109
Inaelekea Customer Services Kimara hawajajipanga vizuri. Inakuwaje unapiga simu kuomba namba ya manager mtu anakujibu kuwa haijui namba ya manager? Je, namba ya manager haitakiwi kujulikana kwa wateja ili tumweleze matatizo yetu direct baada ya kuona hatupati huduma ya kuridhisha kutoka kwa watendaji walio chini yake?!!pole kwa usumbufu. tafadhali wasiliana na kituo chetu cha huduma dawasco kimara 0743 451866