mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,666
Nimetumia sms hii na DAWASCO ya mwezi January:
"Mteja OPERESHENI KATA MAJI IMEANZA a/c ... Bado haujalipia, bili ya Mwezi January 2016, Jumla unadaiwa Tsh. ..., EPUKA USUMBUFU WA KUSITISHWA HUDUMA, KALIPIE BILI YAKO SASA (Call center 0800110064)".
Mambo ya kuchannganya:
1) January haijaisha bill tayari!
2) Kiasi cha maji yaliyotumika hakitajwi.
3) Hajafika msomaji wa mita yapata miezi.
4) Kama siyo ulaghai na wizi wa mchana kweupe ni nini hicho cha bill ya January 2016!!!!
Wana JF mambo hayo.