Dawasco na Wachina wenu vipi nyie??!!

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Mnamo mwezi wa july mwaka huu kulikuwa na zoezi la kutandika mabomba ya maji katika sehemu mbali mbali jijini la Dar es Salaam, zoezi hili la kuweka mabomba lilifanywa na wachina na kwa maelezo niliyopata kutoka kwa wahusika maji yangetoka kuanzia Agosti.2009. Kutokana na adha ya ukosefu wa maji iliyonisumbua kwa muda mrefu kwa kweli mimi na wakazi wenzagu mtaani kwetu tulifarijika sana. Lakini tukiwa tumebakiza takribani siku 8 kuumaliza mwaka 2009 hakuna dalili ya mabomba yale kutoa maji. Sijui tatizo nini...najua nyie Dawasco mmo humu kwenye JF hebu tuambieni kinachoendelea kama hamfungulii maji mje mtoe mibomba yenu..Eboh!!
 
Kaka/Dada, ungesema uko mtaa gani ingekuwa vizuri kukupa majibu ya uhakika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom