Whitesmith
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 386
- 517
Miundombinu ya maji ni mibovu kila kona ya mtaa kuna mifereji ya maji yanamiminika.
Napendekeza yafuatayo yafanyike;
1: ukaguzi kubaini maeno yenye miundombinu mbovu
2: uchunguzi wa kitaalam ufanyike kubaini;
A: ubora wa pipe
B: vigezo vya kina cha kulaza mabomba km yanazingatiwa
C: kama kuna mwngiliano wa pipeline na shughuli za binadamu
D: ziandalie map ya pipe line kila kitaa
E: waanzishe scientific method kubaini any leakage
F: kuwepo na field inspection ya pipe line map kwa kila mtaa
Hitimisho:
Maji yanayopotea Dar kutokana ubovu wa miundo mbinu ni mkubwa, bili ya maji inakusanywa na wanaokagua meter wapo ila wakukagua miundombinu hawapo, Dawasco liangalieni hili na muone namna yakudhibiti huu upotevu