DAWASCO mna la kujifunza, maji ni muhimu sana katika jamii

The Saver

JF-Expert Member
Aug 21, 2014
202
650
DAWASA/DAWASCO ni shirika la hivyo kabisa Sijui kama wanajua kuwa maji ni muhimu saana kwenye jamii.

Nisizunguke saana maana tatizo la maji ni la nchi nzima na ni ujinga wa viongozi wetu. Ujinga wa DAWASCO ni

1. Maji yakiwa yanavuja mtaani kwako badala ya kurekebisha wanakata bomba na kukunja wanataka aliyekatiwa maji ajitokezi ili awape hela wakanunue vifaa, ukiwa uliza office hawezi kununua wanakwambia wananunua lakin haba ni mwezi utasubiri, sasa huu ujinga umekomaa Dawasco ya tegeta, kunduchi, mbezi beach

2. TARURA wakiwa wanatengeneza barabara za mitaani wanakata mabomba sasa mpka urudishiwe maji dawasco wanakwambia tunasubri TARURA watulipe tuje kulejesha maji

Huu ujinga ni kwa DAWASCO kutoona umuhimu wa maji kwenye jamii

Waziri wa Maji Uweso yupo na anajua DAWASCO imeoza
 
Back
Top Bottom