Dawasco kimara mnatia aibu

kifaru 1

Member
Oct 21, 2013
28
4
Ndugu zangu hawa dawasco kimara naona kama ofisi imewashinda maana hawaji kusoma bill wala bill hawaleti ila kuja kukata maji kwa vitisho wanakuja! Wanavizia tu wakati watu wapo makazini wanakuja kukata maji tena kwa vitisho ili mtu aogope awape kidogo ! Kwa taarifa yenu tuna ushahidi hadi wa picha wa wakatamaji vichefuchefu tutazoweka picha zenu hapa na kuanika uchafu wenu ! Mnashindwaje kuleta bill ila kukata maji muweze? Naona meneja wenu kawashindwa ! Mkirudia tunaeataja na picha tunaweka
 
dawsko ni janga, hapa kwangu sijawahi kuwaona hata siku moja wakija kusoma bill, lakini wananitumia kwenye simu kila mwisho wa mwezi bill fake, na bill ni kubwa mpaka basi!!
 
Back
Top Bottom