Dawasa watangaza mgao wa maji tanesco lini?

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Uchaguzi umepita sasa utendaji na uozo wa miaka nenda rudi umeanza kuonekana.Ukweli ni kuwa kabla ya uchaguzi mgao wa maji na umeme ulikuepo!tuulize ubungo kibangu lini walipata maji?8% ya watanzania ndio wenye umeme.
WANAPOTANGAZA MGAO WANA MAANA GANI?
 
JK alishawai kusema suala la uhaba wa Maji kuwa historia DSM na Umeme katika level ya nchi
 
haya msiba huo umefika rasmi, kisago kuendelea hadi sijui lini! hakika ni janga, ccm ccm,ccm!
 
Kuna jamaa yangu ananiambia kuwa na wafanyakazi wameongezewa taxing base. Hakuna exempt income tena hata huduma za afya ni kodi kwenda mbele ili wafidie mabilioni waliyofuja kwenye mabango ya uchaguzi na kuchaguliwa wasichaguliwe waishie kuchakachua. Swali langu ni kama walijua ushindi lazima kwa nini walifanya kampeni ya anasa?, au ndiyo msimu wa mavuno maana hela ile haina audit.
 
Tuna miaka mitano ya kufunga mikanda na kuyalipia mabango tshirt na fulana.
Kuna maeneo DSM dumu la maji ni 500 mpk 400.
Watu watakuwa wanapiga pass port size.
Unaweza nipm tuna kakampuni kakusupply maji toka 1999 kwa kutumia visima vya 50 to 100, deep
 
tutaota ukurutu mpaka miaka mi tano iishe hii balaa mimaji ya chumvi inawasha balaa
 
Back
Top Bottom