DAWASA wasababisha ajali Interchick-Mbezi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DAWASA wasababisha ajali Interchick-Mbezi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lole Gwakisa, Apr 12, 2011.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Niliwa nimetoka Bahari Beach kupata moja moto moja baridi nimeona kwa macho yangu gari ikipiga mweleka hapo Interchick Mbezi.
  Hili limetokea kama dakika 40 zilizopita.
  DAWASA wamechimba kando kando ya barabara ya Bagamoyo pale Interchick, kurekebisha mabomba yao.Kifusi cha kuchimba kwao wameacha barabarani na sehemu hii kuna giza.
  Gari hii iliyo sommersault ni aina ya Toyota Corrolla nyeusi na nimeshuhudia vioo vya gari vikinyofoka wakati inapaa hewani na kujiviringisha .
  Inatisha.
  Nawalumu sana DAWASA kwa kufanya kazi bila kuzingatiakuwa hii barabara ina waendaji wengi na usiku kuna hatari kubwa na hakuna vizuizi wala tahadhari!!
  Mungu ibariki wote wamepona.
   
 2. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  DO u have pictures for the event?
   
Loading...