Gibeath-Elohimu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 487
- 698
Hawa DAWASA hawako serious kabisaa.....maana hata majibu ya malalamiko yetu hakuna anayejishughulisha kuyajibu na lithread lao la DAWASA...wako kimya kama vile hawana taarifa ya haya yaliyowasilishwa hapa.Sms za bili zinatumwa kwa wakati na usumbufu wa kukumbusha mara kwa mara kuwa kalipe au utakatiwa huduma
ONENI AIBU NYIE DAWASA.....BILI ZETU NDO ZINALIPA MISHAHARA YENU.