TunafuatiliaMaji ni uhai na kukosa Maji ni hatari kutokana na umuhimu wake ...
Ubungo Riverside mbele ya landmark kuelekea external ... Ni wiki na zaidi tunataabika na kukosa huduma ya Maji ...
Asante kwa taarifaDawasco eneo la kwa Msuguri maji yanavuja utafikiri mto watu wanayatumia kumwagilia miti na mboga. Kuweni makini
Kulikuwa na matatizo madogo madogo ila sasa tumerudi rasmiTANGU HUU UZI UMEFUNGULIWA NAKUTA TU KERO, MALALAMIKO, LAWAMA TAARIFA ZA MABOMBA KUPASUKA SEHEMU MBALI MBALI NA KADHIA MBALIMBALI LAKINI SIJAWAHI KUONA MAJIBU HATA MARA MOJA. HIVI HUU UZI ULIFUNGULIWA NA DAWASCO/DAWASA WENYEWE AU NI WATU FULANI TU WALIJISIKIA TU KUFUNGUA UZI KWA KUTUMIA JINA LA DAWASCO/DAWASA?
NI MUDA MUAFAKA SASA HUU UZI KAMA HAUJAFUNGULIWA OFFICIALY NA DAWASCO/DAWASA BASI UFUNGWE/UFUTWE TU KWA SABABU WATEJA WANAWEZA KUACHA KUPELEKA MALALAMIKO SEHEMU HUSIKA WAKAYALETA KWENYE HUU UZI WAKITEGEMEA ZITAWAFIKIA DAWASCO/DAWASA NA KUFANYIWA KAZI WAKATI HAYAFIKI SEHEMU HUSIKA NA KWA WAKATI. MATOKEO YAKE MPAKA TAARIFA ZIFIKE SEHEMU HUSIKA INAWEZEKANA KAMA NI MADHARA YAMETOKEA MAHALI YANAWEZA KUWA HAYAWEZI KUREKEBISHIKA TENA.
MWISHO NAMSHAURI MHESHIMIWA LUHEMEJA ATUSAIDIE WANANCHI WA DAR TUPELEKE WAPI KERO ZETU KWANI CUSTOMER CARE NUMBER HUWA ZINAIITA HATA SIKU NZIMA HAKUNA MPOKEAJI SIO ZA MAKAO MAKUU AU ZA HUKU TABATA. KWA MFANO SIKU CHACHE ZILIZOPITA KULIKUWA NA TAARIFA YA UHABA WA MAJI BAADA YA KUPASUKA BOMBA LINALOTOKA RUVU. LAKINI BAADA YA HAPO HAKUNA UPDATE NA WATU HATUNA MAJI WIKI SASA MABOMBA YAMEBAKIA MAPAMBO NA HATUJUI MAJI YANARUDI LINI.
Bagamoyo Makurunge maji yanafika lini???Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.
Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)
DAWASCO HUDUMA KWA WATEJA 0800110064
DAWASCO ILALA 0743 451879
DAWASCO KAWE 0743 451861
DAWASCO KIBAHA 0743 451875
DAWASCO KIMARA 0743 451865
DAWASCO KINONDONI 0743 451863
DAWASCO BAGAMOYO 0743 451877
DAWASCO MAGOMENI 0743 451862
DAWASCO TEGETA 0743 451881
DAWASCO TABATA 0743 451867
DAWASCO TEMEKE 0743 451866View attachment 721128
Kibaya zaidi wameondoa service charge wakaongeza gharama kwenye unit za majiInakuaje bili ya mwezi wa pili kwa mfano unaipata tar 15 kabla ya mwisho wa mwezi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweliKibaya zaidi wameondoa service charge wakaongeza gharama kwenye unit za maji
Sent using Jamii Forums mobile app
Bili ya maji hupatikan pindi mita yako inaposomwa hivyo kwa mfano kama mita itasomwa tarehe 2 basi bili utaipata tarehe 3 na kuendelea..kumbuka ni siku 7 tu unapewa za kulipa maji tangu utumiwe ujumbe wa bili yakoInakuaje bili ya mwezi wa pili kwa mfano unaipata tar 15 kabla ya mwisho wa mwezi?
Sent using Jamii Forums mobile app
TUNASHUKURU KUWA DAWASA MMERUDI NA KUANZA KUJIBU HOJA ZETU KWANI MAJI NI UHAI. NAOMBA KUFAHAMU TENKI LINALOJENGWA TABATA MAGOZA LITAFUNGULIWA LINI NA LITAPUNGUZA SHIDA YA MAJI KATIKA MAENEO GANI?