mswele
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 687
- 413
unit moja inaweza kuwa Lita ngapi za maji?ni Tsh 1668/= kwa unit
unit moja inaweza kuwa Lita ngapi za maji?ni Tsh 1668/= kwa unit
lita 1000unit moja inaweza kuwa Lita ngapi za maji?
ndugu mteja mbona bili nyingine mnalipa kwa wakati ?kwanini bili ya Maji inakuwa na malalamiko mengi. tafadhali kama unatumia Maji jitahidi kuyalipia kwa wakati. Maji ni uhai
inamaana mm natumia kwa siku Lita 1666? nyumba ya kawaida ina tank la Lita 500 tu yenye familia mbili? mnk bili inaonesha nimetumia unit 50lita 1000
sio lazima kwenda kulipa bili bank. lipia sasa kupitia Mpesa..Tigopesa..Airtel Money popote ulipoBili zote zinalipwa kwa wakati Mwisho wa Mwezi. Hasa kwa wafanyabiashara wakubwa. Ni usumbufu sana uende bank katikati ya Mwezi kulipia bili ya maji na mwisho wa mwezi uende tena. Infact kwa majengo yaliyomjini watu hatuna jinsi inabidi tukubali ila kwa nje ya Mji mnapoteza wateja wengi sana.
Kama kweli mnataka kufanya biashara ya Maji serious msijifikirie nyinyi tu na lengo lenu la kukusanya Mapato au ku meet target.
Jaribuni kuwafikiria pia na wateja wenu maana bila wao nyinyi hamtakuwepo.
matumizi yako ndio yanayoakisiwa kwenye mita zetu. angalia upya matumizi yako na familia yako hususani yale yasiyo ya lazima kama kunyeshea bustani kila siku..kuflash choo kila wakati...uoshaji wa gari...na mengine mengi.inamaana mm natumia kwa siku Lita 1666? nyumba ya kawaida ina tank la Lita 500 tu yenye familia mbili? mnk bili inaonesha nimetumia unit 50
Unit moja ni lita ngapi?ni Tsh 1668/= kwa unit
lita 1000Unit moja ni lita ngapi?
lita 1000Unit moja ni lita ngapi?
Safi, naomba muendelee na huu ushirikiano nasi, maana kuna mida huwa mnatukimbia tukiwauliza maswali!lita 1000
habari, mimi ni mteja wenu nipo wazo hill, nimeunganishiwa maji tokea mwaka jana ila sijawahi kutumiwa bili, nimejaribu kufuatilia dawasco ofisi za boko wakasema niwape meter namba nikafanya ivo ila hadi leo hamna kilichofanyika, sasa sielewi lengo lenu ni nini!tutajie eneo husika. maelezo yako bado hayajajitosheleza
linapokuja swala la wafanyabiashara wakubwa zikiwemo ofisi kubwa mfumo wa malipo uboreshwe kuwa tofauti, ikiwa ninalipa kwa check inabidi niletewe bill yangu ya maandishi siku 14 kabla ili niweze ku-process malipo ktk utaratibu mzuri, utaratibu wenu mnatuma msg kitu ambacho si kithibitisho kizuri. nashauri utaratibu wa msg ufanyike kwa wateja wadogo wadogo.sio lazima kwenda kulipa bili bank. lipia sasa kupitia Mpesa..Tigopesa..Airtel Money popote ulipo
sina gari wala bustani istoshe mita yangu inasoma 5590 wao wanasema Mita yangu inasoma 5496 hii dalili tosha ya kuwa mita hazisomwi kabisa wanakisia tu wala sina leakege yyte kwny nyumba yangumatumizi yako ndio yanayoakisiwa kwenye mita zetu. angalia upya matumizi yako na familia yako hususani yale yasiyo ya lazima kama kunyeshea bustani kila siku..kuflash choo kila wakati...uoshaji wa gari...na mengine mengi.
tunaomba meter namba tukusaidie kukusajili. pole kwa usumbufuhabari, mimi ni mteja wenu nipo wazo hill, nimeunganishiwa maji tokea mwaka jana ila sijawahi kutumiwa bili, nimejaribu kufuatilia dawasco ofisi za boko wakasema niwape meter namba nikafanya ivo ila hadi leo hamna kilichofanyika, sasa sielewi lengo lenu ni nini!
asante kwa ushauri, tutaufanyia kazi!linapokuja swala la wafanyabiashara wakubwa zikiwemo ofisi kubwa mfumo wa malipo uboreshwe kuwa tofauti, ikiwa ninalipa kwa check inabidi niletewe bill yangu ya maandishi siku 14 kabla ili niweze ku-process malipo ktk utaratibu mzuri, utaratibu wenu mnatuma msg kitu ambacho si kithibitisho kizuri. nashauri utaratibu wa msg ufanyike kwa wateja wadogo wadogo.
Maji Taka yanatiririka Dar nzima, na nyie huwa mnakusanya malipo kwa huduma hiyo. Why, kwanini?Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.
Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)