Naomba kufahamishwa dawa zinazosaidia mfupa uliovunjika kuunga

Kanda ya ziwa wapo wataalam wengi, wanaunga kwa kutumia dawa flan wala hawagusi kabisa sehem ilipovunjika. Kuna jamaa tunafanya nae zoez alivunjika mwaka juzi tukampeleka..
Nipo tayari ila tatizo nipo mbali na kanda ya ziwa
 
Yes tafuta Dawa inaitwa CALCITRON kama upo dar Nenda Bariki pharmacy au RobbyOne pharmacy au Core pharmacy Utapata!! Ni calcium suppliment ina new technology that give Maximu absorpition ya calcium maana katika mfupa kujiunga tunahitaji calcium nyingi..hii ni dawa mpya mikoani bado haijaanza kusambaa..ni ya egypt nzuri sana
Dawa hii ni kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimezipata pale bariki bei yake ni 19,250/=
Yes Jamaa yule huwa anabei nzuri kidogo!! Safi sana mkuu. 2 packs zinakutosha ku recover!! pack moja ina capsules 30 kila siku unakunywa capsule moja!! Hiyo hiyo pack nyingine ni dhalura kwa mwezi unaofuata just incase hujarecover vizur..But only one pack is enough hiyo ya pili chukua just in case
 
Sure Mkuu, nimechukua 2 pack kama ulivyonishaur! Najiona nimechelewa pia kujua hizi dawa ila mungu atanisaidia tu..
 
Kanda ya ziwa wapo wataalam wengi, wanaunga kwa kutumia dawa flan wala hawagusi kabisa sehem ilipovunjika. Kuna jamaa tunafanya nae zoez alivunjika mwaka juzi tukampeleka. Aliungwa mwez mmoja tu kawa mzima kbs...
Kuna bibi mmoja huko huko Mwanza pia anaunga mifupa pasipo kukugusa, anapaka dawa mikononi mwake halafu anakuwa kama anabumba mguu/mkono uliovunjika pasipo kuugusa.
 
wakuu habarini nimepitia post kadhaa za zamani nimeona kuhusu ufundi unaotymika kuunga mfupa au mtu aliyevunjika tafadhali naombeni msaada katika hilo kwa anayefahamu mtu mwenye utaalamu huo.
 
Ushapata utatuzi? Upo wap? Mwanza huku ndani ndani hua wapo mafundi Kama bado unahitaji sema
wakuu habarini nimepitia post kadhaa za zamani nimeona kuhusu ufundi unaotymika kuunga mfupa au mtu aliyevunjika tafadhali naombeni msaada katika hilo kwa anayefahamu mtu mwenye utaalamu huo.
 
Back
Top Bottom