Dawa za sh.bilioni 8 zaozea MSD | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa za sh.bilioni 8 zaozea MSD

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kipindupindu, Jun 4, 2011.

 1. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kamati ya Bunge ya hesabu za mashirika ya Umma imekataa kupitisha hesabu za bohari kuu ya dawa ya serikali(MSD) kutokana na kuharibika kwa dawa zenye thamani ya sh bilion 8.
  Source:mwananchi.co.tz

  my take:hospitali za serikali zinatakiwa kununua dawa MSD pekee na mara nyingi ukiuliza kwa nini dawa hazipo utaambiwa hata MSD hazipatikani,sasa hii midawa ya bilioni 8 inafanya nini huko?
  MSD lazima wapate washindani ili kuondoa ukiritimba.
   
 2. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wajaribu kuzifanyia recycle ili wasipate hasara kabisa.
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  MSD wamefunga kwa sasa wanafanya stock taking, watarudi na majibu mazuri sana subirini:becky:
   
 4. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  dawa zinafanyiwa recycle?!nieleweshe kidogo.
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  aisee...taifa gumu hili kama nini sijui
   
 6. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kazi ipo!
   
 7. h

  hans79 JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  kanyaboa tupu hela waliipa chama cha mafunza kuiba kura na kununua vifaa vya kampen
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Dawa nyingi za MCD ni dili la wafanyakazi...hawaziuzi bali wanazikwapua wapate chocohote kitu!!
   
Loading...