Dawa za nguvu za kiume zaua mwanafunzi wa chuo

Madawa ya nini?wanajimaliza kwanza nguvu zenyewe pili hayo madawa Kama una tatizo la moyo lazma ikuzimishe.Dawa pekee ya nguvu za kiume piga Sana tizi kunywa maji mengi,kula Sana matunda na mboga za majani..Tumia Sana asali kila siku,Tangawizi pia,kitunguu saumu.au habat soda mix na asali.Vitu asilia tafuna Sana mwisho wa siku utaona balaa lake.Story za vijiweni hazinaga mantiki ni kujazana ujinga tu.
 
Back
Top Bottom