Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
Kabla sijaenda kwenye mada, naomba kueleza machache.
Humu JF kumekuwa na watu wanatabia ya kusoma kichwa cha habari alafu moja kwa moja wanakimbilia kutoa comment bila hata kuelewa vizuri content.
Hata Moderators wa humu kipindi hiki mmekuwa "wakurupukaji". Mnakimbilia kufuta nyuzi tu bila kusoma content na kudadavua vizuri. Mbna zamani mlikuwa na uwezo hata wa kuedit, kubalance nyuzi au kujazia content ili zieleweke vizuri?
Mnafuta Nyuzi bila hata kufatilia ukweli wake!
Wiki chache zilizopita niliandika kuhusiana na scientifici prove kuwa improper and heavy use of hand sanitizer inaweza changia katika kuzalisha ( mutate) aina mpya ya Covid 19.
Kwa sababu ilikuwa very scientifici ilibidi niandike kwa kizungu. Nilipopost hapo hapo within seconds uzi ukafutwa. Ulikuwa mrefu na si chini ya dakika 5 mtu angeweza kusoma wote. Ila dakika tu ukafutwa.
Ila cha msingi nilitaka kueleza jinsi unawaji wa mikono unaofanywa hapa nchini unaweza mutate aina mpya ya virus vya corona . Pia nikaeleza jinsi ambavyo watu wanadilute sanitizer na kujidanganya kuwa wamenawa na wameuwa kirusi.
Coronavirus: heavy use of hand sanitisers could boost antimicrobial resistance
Baada ya siku chache tu, ikagundulika tyari kuna mutation mpya za coronavirus ambazo zinadalili mpya na myths nyingne ambazo hazijajulikana.
Scientists discover unique mutation of new coronavirus
Sasa hivi leo naomba nieleze kwa ufupi dawa za mitishamba zinavyoweza kuwa hatarii kiafya. Na naomba nisijekuwa quoted kuwa ninapinga matumizi ya dawa za mitishamba. Hapana! sipingi matumizi ya mitishamba, ila naongelea matumizi yake kuweza kuwa na hatari kiafya kama vigezo na mashariti hayajafatawa. Mimi binafsi ni mtumiaji mzuri wa miti shamba kuliko dawa za hosipitalin.
Nitajaribu kueleza kwa lugha nyepesi sana na kifupi ili tuelewane kirahisi!
Kisayansi, virus infection katika mwili wa binadamu huweza mutate (mabadiliko kwenye vina saba au tabia) kutokana na matumizi ya madawa kwa kiasi kikubwa au chini ya kiwango/ dozage.
Mfano, unaumwa Amiba, ukapewa dozi ya vidonge 10 wewe ukanywa vitano tu ukaacha. Maana yake wale wadudu umewadhohofisha tu na sio kuwa umewauwa na mbaya zaidi unaweza kuta umewafanya wawe imara zaidi.
Hapa ndyo unakuja ule msemo.
" what doesn't kill you, makes you stronger"
Hata matumizi ya madawa yoyote juu ya kiwango huwa na athari kubwa katika afya ya binadam. Matumizi makubwa ya dawa siku zote hufanya ugonjwa kuwa sigu.
Ndyo maana unaskia mtu ana labda minyoo sugu, typhoid sugu, amiba sugu etc na anatakiwa atumie dawa tofaut ambazo zinanguvu zaidi. Na kumbuka tabia ya ugonjwa uliokomaa au ni sugu huwa hauoneshi dalili. Na wengi hukutwa na mauti ghafla sababu ya magonjwa sugu.
Tukirudi kwenye Covid 19, imegundulika africa kuna mutation mpya za virusi hivi. Hata hapa Tanzania imeshagundulika kuna Mutation mpya ya kirusi hiki inasambaa kwa kasi(SARS-CoV-2.). Haina dalili kama za mwanzoni, Mgonjwa anakufa ghafla tu hata bila kujua kama kaathrika, na kinaambukizwa kwa kasi ( more transmissible)
Kwanini kunakuwa na mutation mpya hasa Africa?
Ofcoz, mabadiliko ya hali ya hewa yanaweza changia kwa kiasi kikubwa kirusi kufanya Mutation ( Mabadiliko). Ila kunasababu nyingine hasa utumiaji wa miti shamba na matumizi ya sanitizer ya hali ya juu au chini.
Africa tunatumia mitishamba sana hasa kipindi hiki. Watu wamekuwa na hofu kubwa juu ya Covid 19. Watu wamepanic na wamekimbilia kutumia kila aina ya dawa asili iliyopo.
Hakuna anayejua kama ni kweli zinatibu au hapana. Ila changamoto inakuja kwenye dossage. Je kiasi kinachotumiwa ni sahihi.
Mfano hivi sasa inasemekana dawa ya madagascar inatibu korona. Walioigundua wanasema sio kuwa inauwa kirusi ila "inadhohofisha au kufubaza".
Sasa tuassume ni kweli inadhohofisha/ fubaza na je nini matokeo yake baada ya kirusi kudhohofika?
Scientificaly icho kirusi kitatafta njia ya kuadopt mashambulizi ya iyo dawa na moja wapo ni kumutate na kuwa strong zaidi.
Nimetumia mfano wa dawa wa madagascar ila hapa nchini watu tumeshauriana kutumia dawa nyingi za mitishamba bila ya kuwa na kiwango maalumu au special combination.
Ndyo maana unasikia siku hizi watu wanakufa kwa kuugua kwa muda mfupi tu. Yani unakufa ghafla. Kirusi hakioneshi dalili yoyote mpaka mauti inakufika.
Kila virus ipo tofaut na inahitaji dawa tofaut au dosage tofauti ili kupambana nacho. Sasa, sio kisa et Covid 19 ni jamii ya mafua ukafikiri dawa ya mafua inaweza itibu, ..Hapana
USHAURI.
Kinga ni bora kuliko Tiba. Kwasababu dawa maalumu haijapatikana Tusipanic. Tuweke juhudi katika kujikinga. Vaa barakoa na nawa mikoro mara kwa mara.
Tujitahidi kuwa na afya njema wakati wote.
Tuzingatie kula lishe bora, matunda na mboga zenye uwezo mkubwa wa kuongeza kinga ya mwili hasa mafuta mabichi ya mawese.
Si vizuri kutumia madawa hvyo hvyo bila kupima au kufata ushauri wa madaktari.
Serikali ifanyie Tafiti madawa yetu ya mitishamba labda zinaweza kuwa solution katika hili janga.
More links.
1.https://www.npr.org/sections/goatsandsoda/2020/05/08/852081139/the-coronavirus-is-mutating-thats-normal-does-that-mean-it-s-more-dangerous
Asante.
Nakaribisha Maswali. Tujibishane kwa hoja sio matusi wala kejeli.