Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,043
Hizo dawa kama kweli zinaounguza IQ zinapunguza kwa wote maana hata wao wanazitumia. Fluoride wanasema ni hatari pia na muda mrefu tu.Serikali za Africa kwa dhamina na uelewa, kwa nguvu zote wekezeni katika matumizi ya maliasili zetu. Vinginevyo kutegemea chanjo, dawa, nk kutoka kwa wajanja vitaendelea kutufanya watumwa kwa wageni na vizazi vyetu vyote kama vitakuwepo.
=======
Harvard Study Confirms Fluoride Reduces Children's IQ
At least when it comes to topical application, you have a choice. You can easily buy fluoride-free toothpaste and mouthwash. But you're stuck with...www.huffpost.com
Hivyo isiwe kwamba wametengenesa tutumie sisi ila ni kwamba hata wao wanatumia wala hawajatulenga sisi.
La msingi tutumie vitu vya asili ila kufa ni kufa tu ukijilinda dhidi ya ukimwi wafa kwa ajali usipokufa kwa ajali wafa kwa malaria.