Dawa za maralia-watengenezaji mnafanya majaribio kwenye miili yetu

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Ivi hawa wanaotengeneza izi dawa lengo lao tuwe tunatumia kila mwezi kama sio quarterly.
Maana dawa za siku izi kila leo zatangazwa which looks like wako kibiashara zaidi.
Kuna watu mpaka kloroquine mpaka leo inawataibu ila wakijaribu izi dawa zinazotangazwa kila leo MSETO and the like hawaponi.
Na kuna tetesi kila waziri wa afya anakuja na dawa yake ikiashiria gawio kwenye mauzo ya izo dawa.
Naomba yeyote anayezifahamu dawa za kienyeji za maralia pls let me know nataka achana rasmi na izi dawa za kisasa hasa Duo Cotexin ambayo nimetoka maliza kunywa week 2 sasa kupima maralia bado ipo.
I call upon the government msilete siasa when it comes to the health of your people.
Mnajua fika huu ugonjwa ni namba one killer
 
Uko sahihi kabisa kijana wangu,mi nimesoma India mambo ya madawa kuna mambo ya ajabu sana kwenye mambo hayo,hasa kama nchi ni dampo la dawa za majaribio kama TZ nkikwambia mengine utastaajabu ..kuna dawa ya kutibu TYPHOO imetoka misri inauzwa ghali sana na imepitishwa duh..nimeikuta shops kibao ilipigwa marufuku ASIA na .....
Basi napita tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom