Dawa za kuteremsha hedhi.

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
DAWA ZA KUTEREMSHA HEDHI.

Ikiwa hedhi imezuilika kwa kufikia umri wa kumaliza au ni kwasababu ya mimba, inafahamika lakini ikiwa si kwasababu mbili hizo basi hufanyiwa dawa na kuirudisha hedhi.

1. Kunywa chai ya mdalasini.

2. Mvuje ukinywewa pamoja na pilipilimanga huteremsha hedhi iliyo fungwa katika uzai au mapito yake.

3. Manemane ikipondwa na ukinywa siku tatu asubuhi kabla ya kula chakula

4. Kitunguu Thoum na maganda yake huteremsha hedhi

5. Kunywa maji yaliyochemsha na zaatari.
 
Samahani mzizimkavu hayo maneno ambayo nimehighlight kwa rangi nyekundu ndio nini na zinapatikana wapi, mdogo wangu anapata shida sana akiwa kwenye siku zake.
 
Mvuje, Manemane na Zaatari, zinapatikana Kwenye Maduka ya Dawa kariakoo au Mtaa wa pemba hapo hapo Kariakoo kwa wauza Madawa ya kiaarabu waulize Watu hapo kariakoo watakufahamisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom