nipe contact za hospitali za bongo zinazofanya PSplastic surgery tuu hapo, inarudi kama ya 18yrs old, na inabaki hivihivo.
hapo kwenye red ni wale wenye maadili, sio wale wa mitaa ya Fidel
hehehehe!2" hicho ni kinembe yaani visichana vinaona kajamaa kana clitoris kama zao duh
plastic surgery tuu hapo, inarudi kama ya 18yrs old, na inabaki hivihivo.
hapo kwenye red ni wale wenye maadili, sio wale wa mitaa ya Fidel
Jamani ndugu yangu mmoja ana tatizo.
Mtoto wake wa kiume umri 20 amekuwa na tatizo la kukimbiwa na visichana.
Ila last month imekuwa shida kwa sababu msichana wake amemsema vibaya mbele ya watu kisa: ka penis kake ni kafupi hakumuingii ndani yule msicha vya kutosha- kana urefu wa approx. 2 inches:
Swali ninaloomba kuuliza ma Dr. au wenye ujuzi-kuna njia/dawa au vyakula vya kula mtu akaweza kuongezeka urefu?
Na 2 je kuna njia ya kumfanya aweze kumridhisha mwenzie?Kwa sababu ana errect. Maana nina imani kwenye kuzaa haitoweza kuwa shida.
Natanguliza shukurani.
KT.
Ikiwa imesimama,nawashukuru wote ingawa mzazi wake amezidi kuogopa baada ya kuona mpka sasa hamna njia.Hii dunia mmmmh hujafa...........Hizo Inchi Mbili (2) ikiwa imesimama au imelala?
Ikiwa imesimama,nawashukuru wote ingawa mzazi wake amezidi kuogopa baada ya kuona mpka sasa hamna njia.Hii dunia mmmmh hujafa...........
nafikiri dawa salama ni kujua tu kutumia maumbile yako,lkn hizo nyingine zinaweza kuwa na side effect mbaya zaidi ya tatizo la mwanzo.
lol, pole sana ndugu! approx 2 inches! that means is even less than that! sipati picha akiwa hajasimamisha! inawezekana ni 1/2 cm!
kumbe anakimbiwa na visichana! afadhari kwani angekutana na machangu angepigwa 'vibao' kabisaaaa!
Kuridhisha uwepo upo ila inatakiwa awe mtundu! Lol, 2 inches?? Duniani kuna maajabu!
Mwambie ajaribu za kichina, nasikia kuna jamaa alitumia ngoma ikaumuka mpaka kilo 10!
Kama vipi akeshe na kuomba! Itakuwa, 20 yrs old bado kijana anakua tu!
Ikishindikana afanye 'jelqin', itasaidia kuongeza 1-2 inches!
Mwambie asijaribu plastic surgery kwani mtarimbo utameguka kama pua ya wacko jacko (MJ)!
Wewe mtoto acha kabisa yaani umeshaanza tendo la ndoa???????? Siamini hivi unafatilia vitabu vya dini zote havikatazi tena unaweka wazi eti unataka ukubwa ahhha!!! njoo kanisani tukuombee una pepo mmbaya wewe
Jamani. Hicho ni kilema kama kilema kingine. kuna waliozaliwa na miguu mifupi lakini sijawahi kusikia mtu anatafuta dawa ya kurefusha mguu!! I dont believe kama unaweza kupata tiba ya kubadili maumbile yake. reffer to the recent case of the guy with 10kg penis!!
Otherwise kama kuna mtu alishawahi au anrafiki wa karibu aliyefanikiwa kubadili size akafanikiwa atujuze tafadhali. hata mimi ningepanda iongezeke kidoogo. thi biger the... the more the Enjoyment. tehe tehe
Yupo jamaa yangu alikuwa na tatizo kama hilo,
akawaona wataalamu wa kienyeji, wakampa dawa zao za kumeza
na baada ya wiki chache mabadiliko yakaonekana.
Jamaa tunamtania tunamwita 'TANGO'.
Hata wewe mkuu kama upo serious nikuelekeze pa kwenda.
Ila naskia ukikosea dozi itakuwa balaa kwani ukubwa unakuwa mara dufu hadi kero.
Shida yangu hapo kwenye red tu mkuu!! ndo maana nasema kazi ya Mungu haina makosa.
Tafuta tiba za kichina!