Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

Size sio issue hata kidogo. Ukitaka ku-prove hiyo, fanya style ya katerero, mwanamke atafikia kilele chake kwa raha kabisa bila hata ya kuingiza uume. Wanaume mpooooooo?

Mama Mia, tusaidie kwa hili, je, size ni issue? kaka zako wanataka kwenda kwa sangoma kuongeza urefu. Tafadhali mama mia
 
Size ya Uume si hoja kwa kufanya mapenzi, uke unauwezo wa kupokea penis yeyote ile hata kana ni usawa wa kidole, itategemea na wewe jinsi mnavyofanya mapenzi na mpenzi wako. Akina mama/dada wengine wanatumia size ya penis kama silaha na udhalilishaji kwa mpenzi wa kiume mara wagombanapo, ndo sababu hasa baadhi ya wanaume kujisikia wanyonge kwa kuwa mpenzi amemwambia ana uume mdogo. Watu kama hao ni mafisadi ya ngono wanapenda kubugizwa. kubali na ridhika ulivyo fanya romance za kutosha utamfikisha mpenzi wako huko anakotaka.
 
Hauna haja ya kuhangaikana operation au madawa. Tafuta size zako tuu,
...Hakuna cha size yake wala nini, suala ni utundu na ubunifu wake jinsi ya kuzungusha mashine. Kiufupi wanaume wengi hawaelewi kuwa ndani ya uchi wa mwanamke kuna maeneo sensitive ambayo ukiya-target na kuyapata demu atakukubali.Wengi wanachojua ni kuingia na kuchochea tu bila malengo...ndio hao wanaohangaika kutaka kuongeza size ya maumbile yao wakidhani ukiwa na dick kubwa ndio utamfurahisha demu....
 
Size sio issue hata kidogo. Ukitaka ku-prove hiyo, fanya style ya katerero, mwanamke atafikia kilele chake kwa raha kabisa bila hata ya kuingiza uume. Wanaume mpooooooo?

Hiyo style inakuwaje mkuu naomba ufafanuzi nikafanye majaribio.
 
Size ya Uume si hoja kwa kufanya mapenzi, uke unauwezo wa kupokea penis yeyote ile hata kana ni usawa wa kidole, itategemea na wewe jinsi mnavyofanya mapenzi na mpenzi wako. Akina mama/dada wengine wanatumia size ya penis kama silaha na udhalilishaji kwa mpenzi wa kiume mara wagombanapo, ndo sababu hasa baadhi ya wanaume kujisikia wanyonge kwa kuwa mpenzi amemwambia ana uume mdogo. Watu kama hao ni mafisadi ya ngono wanapenda kubugizwa. kubali na ridhika ulivyo fanya romance za kutosha utamfikisha mpenzi wako huko anakotaka.

mmh, lakini mughwira kwani hujawahi sikia mwanaume akikandia/akilalamika kwamba uwanja wa bi flani ni mkubwa kuliko? yaani kama swimming pool flani hivi mtu unaogelea tu .-(
 
Hii theory tu au ina scienific proof! Dodoki na uume wapi na wapi jamani.!! mimi simshauri mtu yeyote yule aongeze uume kwani ni kitendo cha risk sana na hakina faida yoyote ile. kwa sababu ili mwanamke afurahie tendo la ndoa haitaji uume mkubwa kwanza utakuwa unamuumiza.

farmer, hii ya dodoki inaweza kuwa haijathibitishwa kisayansi lakini mbona hii stori ipo looooong time! halafu wanaojaribu hawako tayari kujitokeza na kuelezea matokeo yake. ila kama mtu yuko tayari aende tu msituni na kuchanja dodoki.
 
Last edited:
Tafuta dodoki ambalo bado halijakomaa lichanje na wembe alafu uchanje na uume wako kisha chukua majimaji yanayotoka kwenye dodoki upake hapo kwenye uume ulipo pachanja,fanya hivyo pia kwa kuchukua damu ya kwenye uume upake kwenye dodoki. Jinsi dodoki linavyo kua ndio ukubwa wa uume utakuwa.

je hii imekuwa proved scientfically??????????
 
Yawezekana na wewe unatatizo kama hilo hapo juu.....sikiliza hii barua nilioletewa.
Dk pdidy naogopa kuoa sababu uume wangu ni mdogo sana labda sitowezamridhisha mkewangu nimesikia wanawake wengi wakisema natakakuolewa na wanaume wenye mzigo mzito mrefu...ndio humstarehesha mwanamke...kwa mawazo haynaogopa kabisa...

Mpendwa acha kuwa na wasiwasi juu ya ukubwa wako si kweli ukubwa waeamridhisha mwanamke...sehemu za msisimko kwa mwanamke ni kinembe humtosheleza kumlegeza kabisa mwanamkekila mwanaume ana uume unaozidi sentimita saba....na kinembe kiko urefu wa sentimita saba zmwanzo kwa hiyo kila mwanaume ana uwezo wa kumsisimua mwanamke...

Kazi kwako chezesha kidole,mashine juu yake kama ajaiita mwenyewe
 
Ndugu yangu usijilumu kuwa na maumbile madogo. Muumba ana makusudi yake. Hivyo usijali. Atakupatia pia mwanamke size yako. Kama kuna ambavyo kuna wanaume wenye maumbile madogo, ni wazi pia kuwepo na wanawake wenye kina kifupi. Usijali kuna wa kwako ameandaliwa.
 
Jamani ndugu yangu mmoja ana tatizo.
Mtoto wake wa kiume umri 20 amekuwa na tatizo la kukimbiwa na visichana.
Ila last month imekuwa shida kwa sababu msichana wake amemsema vibaya mbele ya watu kisa: ka penis kake ni kafupi hakumuingii ndani yule msicha vya kutosha- kana urefu wa approx. 2 inches:
Swali ninaloomba kuuliza ma Dr. au wenye ujuzi-kuna njia/dawa au vyakula vya kula mtu akaweza kuongezeka urefu?
Na 2 je kuna njia ya kumfanya aweze kumridhisha mwenzie?Kwa sababu ana errect. Maana nina imani kwenye kuzaa haitoweza kuwa shida.
Natanguliza shukurani.
KT.
 
mh! 20yrs old!!
mi nashauri aendelee na shule kwanza,,,haya mengine yatakaa sawa baade wala sio issue kubwa
 
lol, pole sana ndugu! approx 2 inches! that means is even less than that! sipati picha akiwa hajasimamisha! inawezekana ni 1/2 cm!

kumbe anakimbiwa na visichana! afadhari kwani angekutana na machangu angepigwa 'vibao' kabisaaaa!

Kuridhisha uwepo upo ila inatakiwa awe mtundu! Lol, 2 inches?? Duniani kuna maajabu!

Mwambie ajaribu za kichina, nasikia kuna jamaa alitumia ngoma ikaumuka mpaka kilo 10!

Kama vipi akeshe na kuomba! Itakuwa, 20 yrs old bado kijana anakua tu!

Ikishindikana afanye 'jelqin', itasaidia kuongeza 1-2 inches!

Mwambie asijaribu plastic surgery kwani mtarimbo utameguka kama pua ya wacko jacko (MJ)!
 
nimeona huzuni hivyo alivyosemwa na msichana wake,hope atajua jinsi ya kuishi kulingana na maumbile yake!mi sishauri atumie dawa zinaweza kumuadhiri kwanza bado ni mdogo, akikua atajua jinsi ya kutumia maumbile yake madogo kuwaridhisha wanawake lkn madawa au operesheni mimi sishauri!
 
je, wanawake wenye maumbile makubwa nao watumie dawa gani kupunguza kero ziwapatazo wanaume wenye tuumbile tudogo?
 
je, wanawake wenye maumbile makubwa nao watumie dawa gani kupunguza kero ziwapatazo wanaume wenye tuumbile tudogo?
nafikiri dawa salama ni kujua tu kutumia maumbile yako,lkn hizo nyingine zinaweza kuwa na side effect mbaya zaidi ya tatizo la mwanzo.
 
je, wanawake wenye maumbile makubwa nao watumie dawa gani kupunguza kero ziwapatazo wanaume wenye tuumbile tudogo?

plastic surgery tuu hapo, inarudi kama ya 18yrs old, na inabaki hivihivo.

hapo kwenye red ni wale wenye maadili, sio wale wa mitaa ya Fidel
 
nafikiri dawa salama ni kujua tu kutumia maumbile yako,lkn hizo nyingine zinaweza kuwa na side effect mbaya zaidi ya tatizo la mwanzo.
sasa 2'' hiyo itakuwa maumbile? atatumiaje sasa, hebu msaidie, labda na hiyo receptor uwe imetokeza kwa nje kama bomba ili iweze kumesa mensake, kwasababu yake haiwezi katika natural state.
 
Back
Top Bottom