Dawa za kuongeza maisha kwa waathirika wa virusi vya Ukimwi hazifai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa za kuongeza maisha kwa waathirika wa virusi vya Ukimwi hazifai

Discussion in 'JF Doctor' started by nitonye, Jan 13, 2012.

 1. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Habari wanajf, nimekuwa nikifuatilia kampeni ya serikali yetu katika kupunguza makali ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ambapo suala la madawa ya kuongeza maisha kwa waathirika linaonekana muhimu sana. Binafsi haya madawa naona yanaendeleza maambukizo kwa sababu mtu anapoyatumia ananawili kweli hivyo kujikuta anaendeleza kuambukiza wengine. Mimi nilikuwa nashauri haya madawa yasitumike ili tuweze kutambuana kirahisi haya ni mawazo yangu lakini.
   
 2. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Mkuu Nitonye.

  Fikiria wewe ungekuwa na HIV hii comment yako ungeisupport kweli ?.
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Ni mawazo yangu tu mkuu
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mawazo yako siyo mazuri,kwanini hao wanaotoa wasiwape elimu ya kutosha hao wanaotumia hayo madawa? Mie naisi ni hulka ya hao baadhi ya wanaotumia kufanya ngono au kutokua na elimu ya kutosha jinsi gani unatakiwa kuishi ukiwa unatumia ARV
   
 5. b

  balzac Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Hayo ni majibu rahisi kwa maswali magumu....kweli ungekua wewe au baba yako au mama yako ana HIV ungefikiria hivyo??? kwanini usifikirie kama mchangiaji hapo juu alivyo suggest jinsi ya kuwaelimisha wanaotumia ARV wasiambukize wengine? au unafikiri wewe unahaki zaidi ya kuishi kuliko wengine so wasitumie dawa ili wafe wasije wakakuambukiza wewe? sifikiri kama una tania, kwakua huo ndio mtazamo wa watanzania wengi....UBINAFSI......hatutafika bro!!!!
   
 6. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Lakini mkuu huoni hata kama haya madawa yapo lakini watu wanazidi kuteketea na hili gonjwa kwa sababu hizi dawa zinabadilisha type ya virusi na hivyo maambukizi na kuendelea kwa kasi
   
 7. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  HUU NI UNYANYAPAA ni kinyume kabisa na Sera ya nchi ya UKIMWI.
   
 8. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Duh Nitonye mtazamo wako hauna mlengo mzuri. Kwanza kwa ufahamu wangu sio watu wote wanaotumia ARV wanajishghulisha kwa sana na mambo ya ngono kwasababu licha tu ya kuambukiza wengine bali hata wao wanaweza kupata uambukizo mpya. Halikadhalika, kuna baadhi ya watu wanaotumia ARV wakipiga game moja la maana huwa taabani kwa muda, na wengine uamsha magonywa nyemelezi waliyo nayo. Ifahamike kuwa kushindwa kwako kujilinda katika mahusiano kusitumike kuwanyanyaapaa wengine. Nawasilisha
   
 9. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Dawa ni watu kubadili tabia, siyo kuwanyima dawa waathirika.
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,791
  Trophy Points: 280
  kuna mtoto mmoja alizaliwa akiw tayari na maambukizi ..sasa hivi ana miaka 15 na yeye ameshazalishwa tayari..ni true story..huku kisarawe
   
 11. T

  TUMY JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hayo maneno ni mazito sana kuyatoa ukizingatia unyeti wa suala lenyewe, watu wanateseka sana kaka, ungepata nafasi ya kupita hospitalini kitu cha kwanza ambacho ungekisema baada ya kutoka ni kwamba dawa ziongezwe jamani.
   
 12. MpigaKura

  MpigaKura JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2007
  Messages: 385
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mnamkumbuka huyu brother?
  Ameota matiti kwa kutumia ARV
  [​IMG]
   
 13. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nitonye Nitonye!kuwa makini
   
 14. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Hata akinawili anakuwa na rangi mbili unagundua tu huyu mtu si mzima
   
 15. b

  balzac Member

  #15
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  tafiti zimeonesha watu wanaotumia ARV au ambao wapo kwenye care programmes wanajihusisha na ngono zembe kwa kiasi kidogo ukilinganisha na wale ambao hawajui status yao. moja ya sababu muhimu ni ushauri nasaha wanaopewa. pia ki-science, chance ya kutransmitt HIV kwa wanaotumia ARV ni ndogo kuliko yule ambaye ana HIV lakini hatumii dawa( labda sababu hajui status yake) .hii inakua explained na uchache wa virusi kwa wale wanaotumia dawa cause dawa zina zuia kuzaliana kwa virus. Swala la usugu wa dawa linaweza kupunguzwa kwa kuhamasisha matumizi zahihi ya dawa. side effects za dawa zipo karibu kwa kila dawa,lakini when benefits ni zaidi ya madhara ni afadhali usaidie wengi
   
 16. b

  balzac Member

  #16
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  unazungumzia kuota matiti?? panadol hata asprin zinaweza kusababisha kifo katika dose ya kawaida inayotumika kimatibabu. je hazifai na ziondolewe ??
   
 17. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #17
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  hawamkumbuki ndiyo maana bado wanahabari hizi, yale waliyoyasoma kwenye ule uzi wenye picha hii hawakuyaelewa yote, au la basi ni moja ya mawakala wao wanataka kujua kama kuna mabadiliko
   
 18. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,139
  Likes Received: 3,328
  Trophy Points: 280
  Jamaa ana konzi za ajabu.
   
 19. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #19
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  ulichopatia ni kichwa chako cha habari kwamba dawa hizo hazifai kwa lolote iwe kunenepesha wala kukondesha, hizo dawa ndiyo ukimwi wenyewe. Gazeti la Kulikoni limewahi kutoka wakati fulani kama siyo 2007 basi ni 2006 na taarifa ukurasa wa mbele kabisa kuwa wanaozitumia dawa hizo hufa mapema kuliko wale wasiozitumia, waulizeni kama wamewahi kuandika hivyo wao, wakikataa nijulisheni pengine nilielewa vibaya.
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Jan 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  yaani wewe badala ya kujilinda usipate maambukizi unataka wenzio wakose tiba?
  Nimeamini sie binadamu tu wabinafsi sana
   
Loading...