Dawa za Kulevya zinazoingia nchini zikitokea India na Pakistani. Nani wanahusika?

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
> Nani wapo nyuma ya uingizwaji huu wa Heroin nchini?

> Malipo yanafanyikaje? Nani mlipaji mkuu?

> Taarifa nilizo nazo zinaonyesha zinatumika boti toka Iran na Pakistani katika kuingiza ‘mzigo’ na zaidi mazao ya kilimo yanatumika kama cover ili kuwapoteza wenye mamlaka

> Huko Afrika Kusini, mataifa haya yanaingiza dawa na trading inafanywa kupitia biashara za Casino na Real Estate; hapa kwetu napata ugumu kuelewa nini wanafanya ili biashara ifanyike.

Kama una taarifa, tudokezane.
 
Hili suala la madawa ya kulevya siyo rahisi kulizungumzia kama unataja wezi wa SACCOS/VICOBA. Wanaoendesha huu mtandao ni watu wazito na waoweza kuharibu hata FUTURE ya mtu ambaye atakwamisha mipango yao.

Wewe unataka upewe taarifa hizi uzipeleke wapi kwanza? Tuambiane tusije kijutia maamuzi yetu.
Wanaweza kuwemo pia wale ambao wako km mbwa mkali ambaye hawezi kuung'ata mkia wake kumbe na wao ni washiriki
 
Suala ambalo linahusisha watu wakubwa huwezi kulizungumza kwa mihemko kwa kutuma email. Kwani hii nchi haina wanusaji wa mambo kama haya hadi tuanze kutumiana email!!!

Kama tunakosa watu wa kunusa kuhusu hii biashara basi TUACHANE NAYO.
Uko sahihi sana hili la madawa haliwezi kukomeshwa kwa muda mfupi ''they ca not stop abruptly but control''
 
Hili suala la madawa ya kulevya linaweza kumalizila au kupungua hadi tutakapokubali kuondoa UTU na UBINADAMU kwa watu wanaofanya biashara hii.

Kitengo kinachohusika na haya mambo kikiamua kuondoa UTU NA UBINADAMU kwenye hili wanaweza kufanikiwa kidogo ila wakiendelea kufuata haki za binadamu tutaendelea kulia kila siku.
 
Bwana Robot kwani dawa za kulevya zinazoingia nchini kutoka mataifa tofauti na uliyoyataja unajua wanaohusika?

What's so special with India and Pakistan?

Maana ulivyoileta mada mtu anaweza kufikiri labda ni washindani wako kwenye soko la ngada unataka uwabaini uwachomee kwa Kamishina Rodgers.
 
Serikali yetu haina fadhira, acha wafanye biashara. Kwa hali ilivyo ngumu biashara yeyote hata ngumu mtu anafanya!

Maana hata mkipewa taarifa, mtoa taarifa ndiyo anakuwa mbaroni eti mnafanya upelelezi hadi utakapotimia!
watakuweka ndani wenyewe wanasema "unaisaidia Polisi" mpaka usaulike kwani mtandao wa hiki kitu sio wa kitoto aisee.Kuna kipindi naangaliaga cha marekani kinaitwa "Drug inc."ndio utaelewa vizuri jinsi madawa hayo yalivyo na mtandao mpana mpaka unatisha wewe kusema ukweli.Wangekuwa wana protect watu wanaosema yaani mbona wanaotumia wangewataja tuu huko mtaani.Kwani watumiaji hawajifichi wanataja wanakopata tu
 
Binafsi nina taarifa, ila moja kati ya wahusika wakuu wa biashara hii kwa sasa HAKAMATIKI.

Kuna kipindi mzigo wake ulikamatwa na taarifa zikafika hadi mahala sahihi lakini hakuna aliyeweza kumchukulia hatua zaidi ya kubaki kusikitika/kukasirika na kumuachia mzigo wake
 
Mkuu Invisible habari za siku? Kukuona umekuja na thread kama hii ujue lazima kuna jambo na lenye lengo kubwa la kusaidia jamii.

Lakini Mimi Nina muono tofauti kidogo, vita hii haiwezekani kwani ni kama vile vita hii ya madawa ilianzishwa ili kuwaondoa watu kadhaa na kuwajengea uwezo wa biashara hii wengine.

Na muhusika na uandaaji wa mageuzi hayo ya biashara hiyo sio mwingine zaidi ya Bashite.
Na hisi hill hata Kamishna wa madawa analijua lakini nani wa kumgusa huyo "mtoto mpendwa"?

Najua watu wanaweza kuhoji umejuaje? Ni mahusiano yake na vijana wanaojulikana kuwa magwiji wa biashara hivyo walio nje ya nchi na pia umilikaji wake wa baadhi ya Mali za ma don waliopo hapa nchini.

Kwa nini Mali zake za ghafla hazihojiwi maana utakatishaji hapo ndio umelala na ukiuliza tuu unapoteza kazi maana Huyo ndio Malyamungu wa awamu hii
 
Zinakuja na bibilia za waovu 👇


In Stock.
This item ships to Tanzania. Get it by Monday, Aug. 26 - Tuesday, Sept. 3 Choose this date at checkout.
Ships from and sold by Amazon.com.
Deliver to Tanzania, United Repub...
Qty:
Qty:1
Submit
Add to Cart
Submit
Buy Now
Gift-wrap available.
ADD TO LIST
USED & NEW (6) FROM $5.99
SELL ON AMAZON
SHARE

Advertisement

About this item
Description
Product description
The world in which we live follows several rules, paradigms and values that are strongly interconnected between themselves, in order to trap human beings in a mental state that we believe to be good and define our humanity. However, humanity is just the product of a specific conceptualization, expanded into a general perspective about life, as well as borrowed from it. This perspective is today worldwide accepted, thanks to the massive power of the media and education, transforming billions of people in soldiers of this system, and making them completely ready to detach from their relatives, friends, and even their own will to live, if there isn’t a perfect match between who they are, who they want to be and what they want others to become. The need to be accepted while refusing the state of being, drives many to force such acceptation from others, with quarrels, gossips and even massive wars, if needed, to achieve this goal. And in-between these clashes, we have racist Christians, xenophobic Muslims, selfish Buddhists, mad Satanists and arrogant Hindus, that although not representing any truth, contribute to the massive lie in which religion has become, making the most truthful seem apart from the path that these groups created for themselves. For the vast majority of the population, still in its most primitive spiritual state, their messiahs must come from the sky, their buddhas must perform miracles, and their gurus don’t wear jeans and short hair, and can’t be born in the western world. And while inside this delusional paradigm about what is and must be, they believe that they know what is good and bad, and that these concepts can be defined in simple terms. They filter their entire reality with the patterns offered to them from birth and then reinforced throughout their existence. The worldwide accepted lie confuses humanity and contributes to insane behaviors that lead the wrong people to power and allows them to be heard by many, willingly obeying like sheep in the slaughterhouse. Unknowingly, everyone is worshipping the same God, and that imaginary wise, old and kind ruler, is their butcher. That’s why we can say that, among this social cattle, “blessed are the valiant, for they shall obtain great treasure; cursed are the believers in good and evil, for they are frightened by shadows” (Anton LaVey).
 
Mkuu Invisible habari za siku? Kukuona umekuja na thread kama hii ujue lazima kuna jambo na lenye lengo kubwa la kusaidia jamii.
Lakini Mimi Nina muono tofauti kidogo, vita hii haiwezekani kwani ni kama vile vita hii ya madawa ilianzishwa ili kuwaondoa watu kadhaa na kuwajengea uwezo wa biashara hii wengine. Na muhusika na uandaaji wa mageuzi hayo ya biashara hiyo sio mwingine zaidi ya Bashite.
Na hisi hill hata Kamishna wa madawa analijua lakini nani wa kumgusa huyo "mtoto mpendwa"?
Najuwa watu wanaweza kuhoji umejuaje? Ni mahusiano yake na vijana wanaojulikana kuwa magwiji wa biashara hivyo walio nje ya nchi na pia umilikaji wake wa baadhi ya Mali za ma don waliopo hapa nchini.
Kwa nini Mali zake za ghafla hazihojiwi maana utakatishaji hapo ndio umelala na ukiuliza tuu unapoteza kazi maana Hugo ndio Malyamungu wa awamu hii
Una hoja ya msingi sana,ngoma hii imechezwa kuwaondoa watu fulani kwenye biashara na kuwafaidisha watu fulani!Na huyo Baba keagan ndiye engineer wa mpango mzima!
 
Back
Top Bottom