Dawa za Kulevya za Kigogo mmoja wa Tanzania zakamatwa nchini Kenya

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,477
15,320
trug.gif

Polisi wakimpelea mahabusu Mohamed Jabir baada ya ya kukamatwa na heroin katika Uwanja wa Kimataifa wa ndege wa Moi, February 2, 2017.

Polisi jijini Mombasa wamemkamata mwanaume mmoja akijaribu kusafirisha kilo moja ya heroin yenye dhamani ya Ksh 10 milioni kupitia Moi International Airport. Mwanaume huyo ametajwa kama Mohamed Jabir na alikuwa ameficha dawa hizo kwenye soli za viatu vyake.

Mkuu wa polisi uwanjani hapo John Otieno amesema mtuhumiwa alikamatwa Alhamisi iliyopita wakati akijaribu kupanda Rwanda Airways kwenda Dubai. Afisa mmoja wa polisi amesema kuwa dawa hizo ni za drug baron wa Kitanzania ambaye huwa anakuja na kuondoka mara kwa mara jijini Mombasa.

Mohamed Jabir amekamatwa siku chache baada Rais Kenyatta kutanga vita dhidi ya mapapa wa dawa za kulevya Mombasa. Tayari Mapapa wanne jijini Mombasa Baktash Akasha, Ibrahim Akasha, Ghulam Hussein na Vijaygiri Goswami wameshakamatwa na kuhamishiwa Marekani wanakohitajika kwa tuhuma za kufanya biashara ya dawa za kulevya.

>>>

"The drug belongs to a Tanzanian drug baron who comes to Mombasa and leaves,” said an officer who is privy to the investigation.

“We are following more crucial leads. The suspect is still being interrogated.”

Chanzo: Man arrested with Sh10m heroin in Mombasa
 
umeyaonaje mkuu...au na wewe ni mdau....
Kea kweli juyaona hayo "macargo" na "matons" ni lazima uwe mhusika mkuu au una uhusiano wa karibu mno na mhusika mkuu. Hata wale punda wa "sembe" huwa hawaoni hayo macargo na matons!
 
trug.gif

Polisi wakimpelea mahabusu Mohamed Jabir baada ya ya kukamatwa na heroin katika Uwanja wa Kimataifa wa ndege wa Moi, February 2, 2017.

Polisi jijini Mombasa wamemkamata mwanaume mmoja akijaribu kusafirisha kilo moja ya heroin yenye dhamani ya Ksh 10 kupitia Moi International Airport. Mwanaume huyo ametajwa kama Mohamed Jabir na alikuwa ameficha dawa hizo kwenye soli za viatu vyake.

Mkuu wa polisi uwanjani hapo John Otieno amesema mtuhumiwa alikamatwa Alhamisi iliyopita wakati akijaribu kupanda Rwanda Airways kwenda Dubai. Afisa mmoja wa polisi amesema kuwa dawa hizo ni za drug baron wa Kitanzania ambaye huwa anakuja na kuondoka mara kwa mara jijini Mombasa.

Mohamed Jabir amekamatwa siku chache baada Rais Kenyatta kutanga vita dhidi ya mapapa wa dawa za kulevya Mombasa. Tayari Mapapa wanne jijini Mombasa Baktash Akasha, Ibrahim Akasha, Ghulam Hussein na Vijaygiri Goswami wameshakamatwa na kuhamishiwa Marekani wanakohitajika kwa tuhuma za kufanya biashara ya dawa za kulevya.

Chanzo: Man arrested with Sh10m heroin in Mombasa
Mkuu EMT asante kwa juhudi zako. Rekebisho kidogo ni 10.M Kenyan Money, umeandika Ksh.10 hujaweka M.

Pili kwa maoni yangu uzito ni 100 g na sio 1kg kwa sababu soli ya viatu itahifadhi vipi kilo moja? . Unless ni raizoni! . Street value ya heroin ni gram moja ni dola $100, hivyo kilo moja ni dola $ 100,000.
Kwa thamani hiyo ya Ksh.10 milioni 10 ni gram 100 ambayo ni dola $10,000 ambayo ndio milioni 10,000 ya Kenya.

NB.Katika vita hii, nimetoa special tribute to you kwa michango yako kwenye vita hii
Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya: JamiiForums na wanachama wake wanaongoza!. Lets Be More Proactive!
Paskali
 
Back
Top Bottom