Dawa za kulevya za bilioni 3 zakamatwa Dar

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Kikosi kazi cha kupambana na dawa za kulevya kimekamata kilo 99 za dawa za kulevya aina ya heroin ambapo walizikamata alfajiri ya leo maeneo ya kinondoni,miongoni mwa waliokamatwa ni watanzania na pamoja na raia wa kigeni wa PAKISTAN,inasemekana dawa hizo zimeingia na BOTI
SOSI:MEJIKI Fm
 
Bora maana ndungu zetu wangezidi kuumia wao watajirike, Swali ni kwamba kila siku tunasikia wanakamata madawa ya kulevya ya dhamani kubwa je wanayatekeyeza ya ndo bidae yanaingia sokoni kinyemela maana kama haingiii akili eti watachoma moto BILION 3
 
hivi huwa wakizikamata zinapelekwa wapi? mbona huwa sisikii zinachomwa au mie ndio siko informed.
 
Sijui kwa kweli
Bora maana ndungu zetu wangezidi kuumia wao watajirike, Swali ni kwamba kila siku tunasikia wanakamata madawa ya kulevya ya dhamani kubwa je wanayatekeyeza ya ndo bidae yanaingia sokoni kinyemela maana kama haingiii akili eti watachoma moto BILION 3
<br />
<br />
 
waliofungwa kwa kosa kama hili wapo wangapi au kesi zao zinaendeleaje? Mbona hatuna feedback au mie siko updated?
 
Kcp mimi huwa najiuliza sana na sipati jibu,,,,,,,jana iran imewanyonga watu wawili ambao walikamatwa na UNGA
waliofungwa kwa kosa kama hili wapo wangapi au kesi zao zinaendeleaje? Mbona hatuna feedback au mie siko updated?
<br />
<br />
 
Wakikamatwa hawapelekwi mahakamani, na wakipelekwa mahakamani hawafungwi, kesi zao zinakufa kiajabu. Kesi za madawa ya kulevya ni mradi mkubwa wa polisi, prosecutors na mahakimu
 
Back
Top Bottom