OMJ
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 210
- 28
Wakili: Manji mlimkamata akiwa anatumia dawa za kulevya lini,wapi na muda gani?
Jamhuri : SIJUI
Tulia mkuu
Kesi nyepesi hii
Serikali chali
Kama ni hivyo Jela itajaa
Wakili: Manji mlimkamata akiwa anatumia dawa za kulevya lini,wapi na muda gani?
Jamhuri : SIJUI
Tulia mkuu
Kesi nyepesi hii
Serikali chali
Muhimu zaidi ni yeye mwenyewe na si matokeo ya mkemia mkuu.
Kama anatumia aache au kama kuna mapambano mengine yanamtia kwenye maji ya moto, basi ajifikirie vizuri kwenye mapambano yake.
Nijuavyo, Manji katengeneza uhasama mkubwa sana na Mengi na kuna kila uwezekano ile kumshinda tu Mengi mahakamani na kumdai shillingi moja ilikuwa ni dharau kubwa sana na si hasha Mengi anatumia njia zake kulipa kisasi.
Mengi ni mtu wa visasi sana, na Manji kishamfanyizia sana, kuanzia hiyo kesi mpaka Ze Komedi na mengine mengi nyuma ya pazia ambayo hatuyajuwi.
Jee, ni Mengi tu au kuna akina GSM pia? Nao ni watu wa visasi sana na Makonda ni swahiba yao.
Mimi nnahisi huu ni muendelezo wa vita fulani tu na Makonda au mwengine yeyote ni vyambo tu kwa sababu kama ni mateja, hata Saidi Mahonda wa HSC ni teja, MO ni teja kubwa sana halina shaka hilo. Yule binti wa Kimahara, mweupe mweupe na alikuwa kavaa baibui aliyekuwa pale ukumbini juzi, anaesaidia mateja sasa hivi huko Kigamboni ni ndugu yao kabisa akina GSM na hicho kituo pengine ni wao wanakifadhili na huyo binti ni teja kubwa sana, sijuwi lini limeacha na kufunguwa kituo.
Unganisha picha, huyo binti ndiyo kituo chake kiwe mbele kwenye sakata hili, uswahiba wa Makonda na GSM, hii vita.
Ukishakuwa na pesa raha iliyokuwepo ni mashindano tu ya nani zaidi.
..unaweza kuwa sahihi kwa asilimia 80....Muhimu zaidi ni yeye mwenyewe na si matokeo ya mkemia mkuu.

Bi mkubwa umefunguka.... lakini kuna hoja pana sana katika hayo uliyoyazungumza. Kwa mataifa yaliyoendelea hili suala la Madawa + Makonda + GSM + safari za Makonda+Clouds Media group+Ziara ya Makonda Jiji la dar es salaam + Bakwata + Sheikh mkuu wa dar. Uchunguzi wa hali ya juu unahitajika.

Kila Rais wa hii nchi ana wa kumfaidisha. Manji wakati wake umeenda na Kikwete, sasa kuna watakao faidika na Ngosha wetu. Hii yote ni mpambano wa waliopita na wanao ingia.Mbona manji tu
TunajuaArobaini ya nini kwa mfano..,wacha kesi iende mahakamani akikutwa na hatia ndo useme hivyo.
Aisee siamini kama ni wewe umepost hii kitu,hongera sana naona sasa umepevukaMuhimu zaidi ni yeye mwenyewe na si matokeo ya mkemia mkuu.
Kama anatumia aache au kama kuna mapambano mengine yanamtia kwenye maji ya moto, basi ajifikirie vizuri kwenye mapambano yake.
Nijuavyo, Manji katengeneza uhasama mkubwa sana na Mengi na kuna kila uwezekano ile kumshinda tu Mengi mahakamani na kumdai shillingi moja ilikuwa ni dharau kubwa sana na si hasha Mengi anatumia njia zake kulipa kisasi.
Mengi ni mtu wa visasi sana, na Manji kishamfanyizia sana, kuanzia hiyo kesi mpaka Ze Komedi na mengine mengi nyuma ya pazia ambayo hatuyajuwi.
Jee, ni Mengi tu au kuna akina GSM pia? Nao ni watu wa visasi sana na Makonda ni swahiba yao.
Mimi nnahisi huu ni muendelezo wa vita fulani tu na Makonda au mwengine yeyote ni vyambo tu kwa sababu kama ni mateja, hata Saidi Mahonda wa HSC ni teja, MO ni teja kubwa sana halina shaka hilo. Yule binti wa Kimahara, mweupe mweupe na alikuwa kavaa baibui aliyekuwa pale ukumbini juzi, anaesaidia mateja sasa hivi huko Kigamboni ni ndugu yao kabisa akina GSM na hicho kituo pengine ni wao wanakifadhili na huyo binti ni teja kubwa sana, sijuwi lini limeacha na kufunguwa kituo.
Unganisha picha, huyo binti ndiyo kituo chake kiwe mbele kwenye sakata hili, uswahiba wa Makonda na GSM, hii vita.
Ukishakuwa na pesa raha iliyokuwepo ni mashindano tu ya nani zaidi.
Hayo ni mambo ya double standard.Kwa kuwa alishajitoa kuisaidia nyinyiem lazima wamuuundie zengweGwajima si alisema kuwa yeye na Manji walipopimwa Kwa Mkemia Mkuu walikutwa -ve.Imekuwaje tena yeye apandishwe mahakamani Kwa jambo ambalo Gwajima anasema jamaa hausiki nalo?
Mbona TID anatumia hakupandishwa mahakamani?au ndio wanataka tu awe shetani.Ovyo kabisa
Kwan yeye ni afisa muajiri????,ama yeye ni GM,ama CEO??? yeye ni chairman wapi na wapi na Uajiri?Kosa lililothibitika ni la kuajili watu wasio na vibali vya kufanya kaz nchini.
Muhimu zaidi ni yeye mwenyewe na si matokeo ya mkemia mkuu.
Kama anatumia aache au kama kuna mapambano mengine yanamtia kwenye maji ya moto, basi ajifikirie vizuri kwenye mapambano yake.
Nijuavyo, Manji katengeneza uhasama mkubwa sana na Mengi na kuna kila uwezekano ile kumshinda tu Mengi mahakamani na kumdai shillingi moja ilikuwa ni dharau kubwa sana na si hasha Mengi anatumia njia zake kulipa kisasi.
Mengi ni mtu wa visasi sana, na Manji kishamfanyizia sana, kuanzia hiyo kesi mpaka Ze Komedi na mengine mengi nyuma ya pazia ambayo hatuyajuwi.
Jee, ni Mengi tu au kuna akina GSM pia? Nao ni watu wa visasi sana na Makonda ni swahiba yao.
Mimi nnahisi huu ni muendelezo wa vita fulani tu na Makonda au mwengine yeyote ni vyambo tu kwa sababu kama ni mateja, hata Saidi Mahonda wa HSC ni teja, MO ni teja kubwa sana halina shaka hilo. Yule binti wa Kimahara, mweupe mweupe na alikuwa kavaa baibui aliyekuwa pale ukumbini juzi, anaesaidia mateja sasa hivi huko Kigamboni ni ndugu yao kabisa akina GSM na hicho kituo pengine ni wao wanakifadhili na huyo binti ni teja kubwa sana, sijuwi lini limeacha na kufunguwa kituo.
Unganisha picha, huyo binti ndiyo kituo chake kiwe mbele kwenye sakata hili, uswahiba wa Makonda na GSM, hii vita.
Ukishakuwa na pesa raha iliyokuwepo ni mashindano tu ya nani zaidi.
girlfriend, look at you - these are very serious allegations you're dishing out against very prominent personalities...Muhimu zaidi ni yeye mwenyewe na si matokeo ya mkemia mkuu.
Kama anatumia aache au kama kuna mapambano mengine yanamtia kwenye maji ya moto, basi ajifikirie vizuri kwenye mapambano yake.
Nijuavyo, Manji katengeneza uhasama mkubwa sana na Mengi na kuna kila uwezekano ile kumshinda tu Mengi mahakamani na kumdai shillingi moja ilikuwa ni dharau kubwa sana na si hasha Mengi anatumia njia zake kulipa kisasi.
Mengi ni mtu wa visasi sana, na Manji kishamfanyizia sana, kuanzia hiyo kesi mpaka Ze Komedi na mengine mengi nyuma ya pazia ambayo hatuyajuwi.
Jee, ni Mengi tu au kuna akina GSM pia? Nao ni watu wa visasi sana na Makonda ni swahiba yao.
Mimi nnahisi huu ni muendelezo wa vita fulani tu na Makonda au mwengine yeyote ni vyambo tu kwa sababu kama ni mateja, hata Saidi Mahonda wa HSC ni teja, MO ni teja kubwa sana halina shaka hilo. Yule binti wa Kimahara, mweupe mweupe na alikuwa kavaa baibui aliyekuwa pale ukumbini juzi, anaesaidia mateja sasa hivi huko Kigamboni ni ndugu yao kabisa akina GSM na hicho kituo pengine ni wao wanakifadhili na huyo binti ni teja kubwa sana, sijuwi lini limeacha na kufunguwa kituo.
Unganisha picha, huyo binti ndiyo kituo chake kiwe mbele kwenye sakata hili, uswahiba wa Makonda na GSM, hii vita.
Ukishakuwa na pesa raha iliyokuwepo ni mashindano tu ya nani zaidi.
Hivi mkuu wewe ndiye uliyempeleka TID mahakamani?Mahakamani kama walivyopelekwa kina TID.Haki lazima itendeke kwa wote.ila kumbe tunapozungumzia mateja, tunawazungumzia watu kama manji. Nimejifunza jambo zito sana