Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
6,949
2,000
No sense, he has right, the government should not be above the law. Msije wafanya watanzania watumwa. Hii tabia ya vitisho imefanya viongozikuwa empowered for nothing and people (citizen) to lose their power. kesi ya msingi ilikuwa ni ipi, Manji anahusika na dawa za kuleva( in other words, muuza unga), Kama sasa imekuwa ni kutumia, we need them to take all drug users to the court and sue them and not only person.
Boss samahani , naona unaongea kitoto, yeye aliitwa ili aweze kuisaidia serikali, Na hakuna popote pale walipo mtuhumu Kama yeye ni muuzaji au mtumiaji. Ingawa inawezekana Ktk taarifa Za awali serikali ilikuwa Inahisi au kujua kwamba yeye ni mtumiaji Kama TID Na wengineo . Sasa huo wito ndio ungepelekea yeye kupewa onyo au matibabu. Lakini reaction Yake unsijua, Sasa kuna njia nyingi Za kumsaidia mtu Kama hajitambui Kama Ana tatizo Na ndio maana kunaadhabu Mbalimbali , kuhusu haki Sijui una maanisha nini? Kwamba police wafanye kazi kwa kufuata ratiba ya mtuhumiwa au?? Ndio hiyo ya kusindikizwa Na mashabiki wa Yanga , ????
 
OMJ

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
210
170
9bfe7ae03ec5b4c14444014b02c63fcb.gif

Wakili: Manji mlimkamata akiwa anatumia dawa za kulevya lini,wapi na muda gani?
Jamhuri : SIJUI

Tulia mkuu
Kesi nyepesi hii
Serikali chali

Kama ni hivyo Jela itajaa
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
7,922
2,000
Muhimu zaidi ni yeye mwenyewe na si matokeo ya mkemia mkuu.

Kama anatumia aache au kama kuna mapambano mengine yanamtia kwenye maji ya moto, basi ajifikirie vizuri kwenye mapambano yake.

Nijuavyo, Manji katengeneza uhasama mkubwa sana na Mengi na kuna kila uwezekano ile kumshinda tu Mengi mahakamani na kumdai shillingi moja ilikuwa ni dharau kubwa sana na si hasha Mengi anatumia njia zake kulipa kisasi.

Mengi ni mtu wa visasi sana, na Manji kishamfanyizia sana, kuanzia hiyo kesi mpaka Ze Komedi na mengine mengi nyuma ya pazia ambayo hatuyajuwi.

Jee, ni Mengi tu au kuna akina GSM pia? Nao ni watu wa visasi sana na Makonda ni swahiba yao.

Mimi nnahisi huu ni muendelezo wa vita fulani tu na Makonda au mwengine yeyote ni vyambo tu kwa sababu kama ni mateja, hata Saidi Mahonda wa HSC ni teja, MO ni teja kubwa sana halina shaka hilo. Yule binti wa Kimahara, mweupe mweupe na alikuwa kavaa baibui aliyekuwa pale ukumbini juzi, anaesaidia mateja sasa hivi huko Kigamboni ni ndugu yao kabisa akina GSM na hicho kituo pengine ni wao wanakifadhili na huyo binti ni teja kubwa sana, sijuwi lini limeacha na kufunguwa kituo.

Unganisha picha, huyo binti ndiyo kituo chake kiwe mbele kwenye sakata hili, uswahiba wa Makonda na GSM, hii vita.

Ukishakuwa na pesa raha iliyokuwepo ni mashindano tu ya nani zaidi.

Bi mkubwa umefunguka.... lakini kuna hoja pana sana katika hayo uliyoyazungumza. Kwa mataifa yaliyoendelea hili suala la Madawa + Makonda + GSM + safari za Makonda+Clouds Media group+Ziara ya Makonda Jiji la dar es salaam + Bakwata + Sheikh mkuu wa dar. Uchunguzi wa hali ya juu unahitajika.
 
myoyambendi

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
101,896

..unaweza kuwa sahihi kwa asilimia 80....
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,337
2,000
Bi mkubwa umefunguka.... lakini kuna hoja pana sana katika hayo uliyoyazungumza. Kwa mataifa yaliyoendelea hili suala la Madawa + Makonda + GSM + safari za Makonda+Clouds Media group+Ziara ya Makonda Jiji la dar es salaam + Bakwata + Sheikh mkuu wa dar. Uchunguzi wa hali ya juu unahitajika.

Usisahau ya Gwajima:

CHOTABUSARA

Member
Feb 6, 2012
45
125
Leo nimemsikia kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam kupitia kipindi cha michezo cha radio moja akidai vipimo vya mkemia mkuu vimeonyesha kuwa Manji anatumia madawa ya kulevya hivyo bado anashikiliwa na polisi na leo atapelekwa mahakamani, sasa swala langu ni je kama ni swala la kutumia madawa ya kulevya mbona TID alikili lakini kaachiwa huru, au leo mtuumiwa ukikili umeiba unakua huna hatia, kama polisi wanataka kuwakamata watumiaji mbona inabidi tujenge magereza mengine maana wamejaa mitaani na hata hao waliokili kuwa wanatumia wakina RC na TID washtakiwe maana kukilili kosa hakukuweki huru, kingine kilichonishtua ni kamanda kudai Manji ni mtu wa kawaida kama wengine, hili sio kweli, Manji ni kiongozi, ni diwani, ni mwenyekiti wa club kubwa ya Yanga lakini pia ni muwekezaji mkubwa mwenye makampuni nasikia zaidi ya 20 hivyo basi ana impact kwenye uchumi wa nchi hii, kwa kulipa kodi lakini pia kwa kutoa ajira kwa watanzania wasiopungua 5000, hivyo sio sahihi kusema ni mtu wa kawaida kama mateja wengine tunaowaona mitaani, pia tuhuma za idara ya Uhamiaji dhidi ya Manji kwa wakati huu kumenitia shaka pia, kwanini muda huu ambapo huyu bwana ana tuhuma hizi ndio zinaibuka zingine ya kuwa ameajiri wageni kwenye kampuni yake ya Quality Group bila kufata utaratibu ambapo pia inasemekana Manji aishajiuzuru u CEO muda mrefu uliopita na huyu bwana miaka yote yupo humu nchini anafanya biashara na kugombea nafasi mbal mbali za uongozi, tena Uhamiaji kwa majigambo wanadai tulikua tumkamate alale ndani kesho tumpeleke mahakamani lakini tumekuta amelazwa Muhimbili. Sasa najiuliza haya yote yanamsukumo kutoka mahali fulani ndio maana yanaibuka kwa pamoja au ni mapambano tu ya biashara ya madawa ya kulevya????, Kwanini viongozi hawa wa serekali wanapotoa matamko dhidi ya Manji wanatoa vitisho na kebehi??? Najiuliza tu I don't have any interest on this issues
 
bandu bandu

JF-Expert Member
Sep 7, 2013
2,735
2,000
Muhimu zaidi ni yeye mwenyewe na si matokeo ya mkemia mkuu.

Kama anatumia aache au kama kuna mapambano mengine yanamtia kwenye maji ya moto, basi ajifikirie vizuri kwenye mapambano yake.

Nijuavyo, Manji katengeneza uhasama mkubwa sana na Mengi na kuna kila uwezekano ile kumshinda tu Mengi mahakamani na kumdai shillingi moja ilikuwa ni dharau kubwa sana na si hasha Mengi anatumia njia zake kulipa kisasi.

Mengi ni mtu wa visasi sana, na Manji kishamfanyizia sana, kuanzia hiyo kesi mpaka Ze Komedi na mengine mengi nyuma ya pazia ambayo hatuyajuwi.

Jee, ni Mengi tu au kuna akina GSM pia? Nao ni watu wa visasi sana na Makonda ni swahiba yao.

Mimi nnahisi huu ni muendelezo wa vita fulani tu na Makonda au mwengine yeyote ni vyambo tu kwa sababu kama ni mateja, hata Saidi Mahonda wa HSC ni teja, MO ni teja kubwa sana halina shaka hilo. Yule binti wa Kimahara, mweupe mweupe na alikuwa kavaa baibui aliyekuwa pale ukumbini juzi, anaesaidia mateja sasa hivi huko Kigamboni ni ndugu yao kabisa akina GSM na hicho kituo pengine ni wao wanakifadhili na huyo binti ni teja kubwa sana, sijuwi lini limeacha na kufunguwa kituo.

Unganisha picha, huyo binti ndiyo kituo chake kiwe mbele kwenye sakata hili, uswahiba wa Makonda na GSM, hii vita.

Ukishakuwa na pesa raha iliyokuwepo ni mashindano tu ya nani zaidi.
Aisee siamini kama ni wewe umepost hii kitu,hongera sana naona sasa umepevuka
 
MPESAMAN

Member
Dec 28, 2016
31
95
Gwajima si alisema kuwa yeye na Manji walipopimwa Kwa Mkemia Mkuu walikutwa -ve.Imekuwaje tena yeye apandishwe mahakamani Kwa jambo ambalo Gwajima anasema jamaa hausiki nalo?
Hayo ni mambo ya double standard.Kwa kuwa alishajitoa kuisaidia nyinyiem lazima wamuuundie zengwe
 
Lizarazu

JF-Expert Member
Aug 23, 2015
6,353
2,000
Muhimu zaidi ni yeye mwenyewe na si matokeo ya mkemia mkuu.

Kama anatumia aache au kama kuna mapambano mengine yanamtia kwenye maji ya moto, basi ajifikirie vizuri kwenye mapambano yake.

Nijuavyo, Manji katengeneza uhasama mkubwa sana na Mengi na kuna kila uwezekano ile kumshinda tu Mengi mahakamani na kumdai shillingi moja ilikuwa ni dharau kubwa sana na si hasha Mengi anatumia njia zake kulipa kisasi.

Mengi ni mtu wa visasi sana, na Manji kishamfanyizia sana, kuanzia hiyo kesi mpaka Ze Komedi na mengine mengi nyuma ya pazia ambayo hatuyajuwi.

Jee, ni Mengi tu au kuna akina GSM pia? Nao ni watu wa visasi sana na Makonda ni swahiba yao.

Mimi nnahisi huu ni muendelezo wa vita fulani tu na Makonda au mwengine yeyote ni vyambo tu kwa sababu kama ni mateja, hata Saidi Mahonda wa HSC ni teja, MO ni teja kubwa sana halina shaka hilo. Yule binti wa Kimahara, mweupe mweupe na alikuwa kavaa baibui aliyekuwa pale ukumbini juzi, anaesaidia mateja sasa hivi huko Kigamboni ni ndugu yao kabisa akina GSM na hicho kituo pengine ni wao wanakifadhili na huyo binti ni teja kubwa sana, sijuwi lini limeacha na kufunguwa kituo.

Unganisha picha, huyo binti ndiyo kituo chake kiwe mbele kwenye sakata hili, uswahiba wa Makonda na GSM, hii vita.

Ukishakuwa na pesa raha iliyokuwepo ni mashindano tu ya nani zaidi.

Umefunguka vema mkuu, umefukunyua vilivyoko nyuma ya pazia, vingine ambavyo hata mimi sikuwa na ufahamu navyo kiundani.

Hivyo basi ni dhairi kwamba hili sakata la madawa ya kulevya limetumiwa kama kimvuli tu cha kupambana na Manji kutokana na chuki binafsi walizonazo watu wachache dhidi yake, na kudhibitisha zaidi ni namna ambavyo hili swala limekuzwa kwa upande wake tu. Kati ya wote waliotuhumiwa mpaka sasa hivi yeye ndio alienda kusachiwa hadi ofisin na yeye ndio amebaki kwenye media wengine tumeshasahau.

Sasa kama hii ni vita ya visasi ni kwani hao GSM na Mengi tu!? na pia ni kwanin watumie mamlaka ya serikali kupambana na adui yao!!? Ina maana kumbe serikali yetu inaweza ikatumiwa kama daraja na watu binafsi kwenye kutimiza matakwa yao huku wakihadaa wanainchi kwa operation bandia kama hii ya madawa!!?

Alafu pia huu uswahiba uliopitiliza wa makonda na hao GSM ni kwanini kusiwepo na invoice ya kumtaka aweke clear kama na yeye ni mmoja wapo wa shareholders au ni ujamaa tu hili kuondoa sintofahamu!!? Yaani imekuwa ni kama vile hao jamaa ni sehemu moja wapo ya ofisi yake.

Kingine ninachokiona kwenye hili sakata hadi kufikia hapa lilipo ni chuki ambayo imekuwepo siku zote kati ya watanzania weusi wa hali ya chini na watanzania wenye asili ya kigeni ambao ni matajiri na ndio maana hata siku ile ulimskia kamishina akisema "hatutaangalia cheo chake wala utajiri wake"...hii inatosha kukupa mutasari hata hao akina Siro na wenzie wanaiendesha hii vita kwa kuifurahia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom