Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

Huwezi kupaelewa Marekani zaidi yangu, nnakuhakikishia hilo. Nimeishi huko, for your information, kwa mara ya kwanza nimekwenda USA 1975 ulikuwa na umri gani? Na kwa takriban miaka 20 sasa imekuwa ni kawaida yangu kwenda US si chini ya mara mbili kwa mwaka.

Nimekuuliza wewe ni kabila gani, kama tunaongelea asili za watu tukuelewe na wewe.

Mbona unajificha nyuma ya kivuli chako?

Kuishi, kwenda USA bado haibadili kuwa wahindi na waarabu ni tatizo kwa maendeleo ya Taifa letu la Tanzania .

Inawezekana nakushinda pia kuhusu kwenda marekani na kwingineko ambako wewe hujafika bado.

Ila ukweli, ni huu asili ya Hindi na Uarabuni ni tatizo kwa Taifa letu la Tanzania, kama huelewi na hili basi naona pana shida sana.
 
Tumuulize wote kama yeye Ni Mkemia? Soma vizuri comment yangu maudhui yake sio kupingana Na kile alichosema Siro isipokuwa kushangazwa Na kauli ya Gwajima Kwamba katuambia jambo jingine wakati competent Authorities zimekuja Na another story.
Lakini Siro naye siyo mkemia pia, wala sio mtaalamu wa kusoma ripoti ya vipimo. Kwanini tusiwashangae wote; Siro na Gwajima!
 
Duh unatisha basi hivi 1975 marekani rais alikuwa nani vile

Ova
Huwezi kupaelewa Marekani zaidi yangu, nnakuhakikishia hilo. Nimeishi huko, for your information, kwa mara ya kwanza nimekwenda USA 1975 ulikuwa na umri gani? Na kwa takriban miaka 20 sasa imekuwa ni kawaida yangu kwenda US si chini ya mara mbili kwa mwaka.

Nimekuuliza wewe ni kabila gani, kama tunaongelea asili za watu tukuelewe na wewe.

Mbona unajificha nyuma ya kivuli chako?
 
Kuishi, kwenda USA bado haibadili kuwa wahindi na waarabu ni tatizo kwa maendeleo ya Taifa letu la Tanzania .

Inawezekana nakushinda pia kuhusu kwenda marekani na kwingineko ambako wewe hujafika bado.

Ila ukweli, ni huu asili ya Hindi na Uarabuni ni tatizo kwa Taifa letu la Tanzania, kama huelewi na hili basi naona pana shida sana.

Kijana, haya umeshinda, wewe umekwenda kwingi na unapajuwa sana Marekani.

Sasa tueleze, wewe ni kabila gani? Mbona hilo linakushinda kujibu?

"Uarabuni" ndiyo wapi?
 
Sioni sababu ya kuwachkia wahindi au waarabu mkuu kisa kutokana n'a maendeleo yao
Inabdi kwanza tujiangalie Sisi wenyewe kwanza matatizo yako kwetu wenyewe

Ova
Kuishi, kwenda USA bado haibadili kuwa wahindi na waarabu ni tatizo kwa maendeleo ya Taifa letu la Tanzania .

Inawezekana nakushinda pia kuhusu kwenda marekani na kwingineko ambako wewe hujafika bado.

Ila ukweli, ni huu asili ya Hindi na Uarabuni ni tatizo kwa Taifa letu la Tanzania, kama huelewi na hili basi naona pana shida sana.
 
Gangongine,
Stupid is your president who is interfering with Courts of Law to kill opposition parties!
Hivi wewe hujui kuwa Lema yuko Mahabusu mwezi wa nne sasa kwa kunyimwa dhamana maksudi kwa MAELEKEZO TOKA IKULU???Pumbaf!
Nimeshakupa LIKE yako Mkuu.
 
Watanzania mna kumbukumbu ndogo sana. Si wiki iliyopita hapa wakina TID walipandishwa kisutu wakasainishwa kiapo cha kuwa na tabia njema na kutakiwa kuripoti kila baada ya wiki mbili kwa mwaka mzima? Mngejua maana ya kiapo hicho mngefunga midomo. Kuwa na tabia njema inaweza kutafsiriwa pia hawaruhusiwi hata kufukuza kuku achilia mbali kurudia tena kuvuta
Kaka nature ya watanzania ni kutoeleweka.WATAKUUMIZA KICHWA MAANA MWANZO ALIKUWEPO JK WAKASEMA RAIS ANACHEKA CHEKA OVYO NA KALETEWA LIST YA WAUZA UNGA HAKUFANYA LOLOTE(HANA MAAMUVI) LEO MOVIE NI ILE ILE IMEANZA KUFANYIWA KAZI WATU WANALALAMA MITANDAONI SIJUI TUPOJE.
 
mwaka wa kwanza wa wapi mkuu? Jadili kama great thinker!!. Expert opinions are admissible in our courts. Wewe kama una precedence iliyo kataa ku-admit weka hapa.
Expert opinion/evidence ni admissible in some cases. Nadhani huyo ndugu anachosema ni kuwa kwenye kesi za jinai, anayeshitaki anatakiwa kufanya angalau yafuatayo bila kuacha mashaka:

1. Kilichofanyika ni kosa kisheria (i.e. je kutumia madawa ya kulevya ni kosa kisheria? alternative, je kukutwa na traces za madawa ya kulevya kwenye damu ni kosa kisheria?)

2. Je kilichotumika ni 'madawa ya kulevya' yanayokatazwa na sheria?

3. Mshitakiwa ndiye aliyetumia madawa hayo huku akijua ni kosa kisheria?:
[hapa nafikiri ndio suala la vipimo vya mkemia linaweza kuingia lakini halitaweza kuthibitisha moja kwa moja kuwa mshtakiwa 'alitumia' (actus reus) na alikusudia kutumia kwa nia ovu (mens rea)].

Ni kama vile mtu upimwe HIV halafu ukutwe +ve, peke yake haithibitishi bila kuacha shaka kuwa ulifanya ("kosa") la ngono zembe kwa sababu HIV inaweza kuingia kwenye blood stream kwa njia zaidi ya moja.

Kwa hivyo katika hili la Manji huyo mkemia itamuwia vigumu kuthibitisha kitendo (actus reus) bila kuacha shaka. Sifikiri polisi watakuwa wajinga kiasi ya ku rely kwenye vipimo vya mkemia mkuu pekee. Ni lazima watatafuta ushahidi mwingine ili kuleta maana kwenye vipimo vya mkemia (kwa mfano wanaweza kupata mashahidi waliowahi kumshuhudia Manji akibwia au kujidunga sindano za madawa hayo, wanaweza kupata mabaki ya dawa hizo nyumbani/chumbani kwake, yeye mwenyewe kwa sababu ya arosto anaweza kukiri kutumia madawa hayo nk)
-
 
Hongera,hakika wewe ni ajuza japo saa nyingine huwa unapotoka na kujitoa rika lako kwa viroja baadala ya kuwa kisima cha busara!!
mkuu alienda akiwa na miaka 2 hajafikia umri wa kuwa ajuza akarudi mwaka 2003 akiwa na miaka 30!!
 
Kwa nn tunadhan ni visasi na visa tu?? Kipi ambacho manji amefanya mpka tumfanyie visa na visasi?
Sembuse aliyeandika hapa kaokota data za kijiweni anasema visasi huku proof hana.Hii ni vita ya madawa ya kulevya targeted zaidi ni Ma suplier so watanzania tusiwe waropokaji wa hisia za kichama au kundi fulani
 
Weh jamaniiii wehhhh! Kama mtumiaji basi muasirika, msimzalilishe hivyo! Tunataka kuwaona mapapa ambao wanawezesha hizo dawa kuingia na kutoka kama pipi!! JPM kama mtu wa Mungu basi lazma utufikishe mpaka mwisho, usituache kwenye mitaa, we wanna see the light at the end of the Tunnel - The Big Dealers and NOT Users!!
 
Kuishi, kwenda USA bado haibadili kuwa wahindi na waarabu ni tatizo kwa maendeleo ya Taifa letu la Tanzania .

Inawezekana nakushinda pia kuhusu kwenda marekani na kwingineko ambako wewe hujafika bado.

Ila ukweli, ni huu asili ya Hindi na Uarabuni ni tatizo kwa Taifa letu la Tanzania, kama huelewi na hili basi naona pana shida sana.
Acha ubaguzi wewe,tatizo mnalo nyie ngozi nyeusi kwa kukosa kujiamini.
Am black but I tell you my brother black people all over the world we got issues in our confidence,we always question our capabilities before anything we do,why? We're full of jealous, envy and hatred while doing nothing about ourselves .
 
Mkemia mkuu anatazama ni negative au positive tu.

Lakini hilo lisiwe jibu kwetu. Liwe jibu kwa Manji

Tunachotaka ni haki itendeke. Kila mmoja abebe msalaba wake.

Kwa hiyo upo uwezekano wa yeye kujitetea kuwa sio mtumiaji wa madawa ya kulevya na utetezi wake ukawa ni wenye tija sababu kama tulivyoona hapo sio kila mwenye postive results ni cocaine user.
 
Mahakama haiendeshwi kama unavyosema.

Unafahamu kazi ya mahakama? Kazi ya mahakama ni kuthibitisha makosa kulingana na sheria zilizopo na kutoa hukumu stahiki!

Kama Polisi hawakukusanya ushahidi wao vizuri ni kazi bure.

Taarifa nilizonazo, Polisi hawajawahi kumkuta MANJI akivuta UNGA, wala hawajampata na EXHIBIT, na pia kwenye vipimo hakuna viashiria vyovyote vinavyoonyesha MANJI ni TEJA! Ni Chuki binafsi tu!

Hata kama MANJI angekuwa mtumiaji! Tutumie Reference ya watumiaji wenzake, Je walifikishwa mahakamani baada ya muda gani? Je mahakama iliamuaje juu yao?

Otherwise hili la Manji ni porojo tu za kisiasa na kukomoana kwa sababu binafsi!
Mkuu ushahidi ni hiyo clip ya kamanda Sirro. Yeye anazo taarifa kuliko wewe unayetegemea minong'ono kutoka katika vijiwe vya mafundi viatu.
 
Expert opinion ni admissible in some cases. Nadhani huyo ndugu anachosema ni kuwa kwenye kesi za jinai, anayeshitaki anatakiwa kufanya angalau yafuatayo bila kuacha mashaka:

1. Kilichofanyika ni kosa kisheria (i.e. je kutumia madawa ya kulevya ni kosa kisheria? alternative, je kukutwa na traces za madawa ya kulevya kwenye damu ni kosa kisheria?)

2. Je kilichotumika ni 'madawa ya kulevya' yanayokatazwa na sheria?

3. Mshitakiwa ndiye aliyetumia madawa hayo huku akijua ni kosa kisheria?:
[hapa nafikiri ndio suala la vipimo vya mkemia linaweza kuingia lakini halitaweza kuthibitisha moja kwa moja kuwa mshtakiwa 'alitumia' (actus reus) na alikusudia kutumia (mens rea)].

Ni kama vile mtu upimwe HIV halafu ukutwe +ve, peke yake haithibitishi bila kuacha shaka kuwa ulifanya ("kosa") la ngono zembe kwa sababu HIV inaweza kuingia kwenye blood stream kwa njia zaidi ya moja.

Kwa hivyo katika hili la Manji huyo mkemia itamuwia vigumu kuthibitisha kitendo (actus reus) bila kuacha shaka. Sifikiri polisi watakuwa wajinga kiasi ya ku rely kwenye vipimo vya mkemia mkuu pekee. Ni lazima watatafuta ushahidi mwingine ili kuleta maana kwenye vipimo vya mkemia (kwa mfano wanaweza kupata mashahidi waliowahi kumshuihudia Manji akibwia au kujidunga sindano za madawa hayo, wanaweza kupata mabaki ya dawa hizo nyumbani/chumbani kwake, yeye mwenyewe kwa sababu ya arosto anaweza kukuri kutumia madawa hayo nk)
-
Nadhani dadisi makini kama hizi ndizo zinazochelewesha Rais wa Yanga kuchelewa kupandishwa kizimbani.Tid alipandishwa fasta kwa kuwa wadau wabobezi hamkudadisi?!!!
 
Back
Top Bottom