Dawa za Kulevya: Wasanii na watuhumiwa wengine wafikishwa Mahakamani, wapata dhamana

Mbona chid benz haonekani?
Au ndio kapotezewa?

Kama wako sirias inatakiwa na yeye aonekane hapo
 
Ebwana eeh kama kweli rais navomjua magufuli naamaanisha Jana ameongea mbele ya Wakuu wote wa vikosi vya usalama. Hili jibu lipo mbioni Sasa nahisi vigogo kadhaa wanaangushwa haipiti week. Hii kitu ilipangwa makonda aianzishe Ila naona mkuu magufuli kaamua kweli.. Nilikuwa sijui wakuvanga huyuhuyu wa orijino comedy?
 
HabariJF,

Wasanii akiwemo Tunda, Wema na Rachael na baadhi ya watu wanaoshikiliwa na kituo cha polisi kati kwa tuhuma ya dawa za kulevya wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

View attachment 468005

Watuhumiwa hao wameshushwa nyuma ya majengo ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu huku baadhi ya wakijifunika nyuso zao kukwepa camera za mapaparazi...
Mbona inasemekana wema hayupo?zipi habari za kweli?
 
HabariJF,

Wasanii akiwemo Tunda, Wema na Rachael na baadhi ya watu wanaoshikiliwa na kituo cha polisi kati kwa tuhuma ya dawa za kulevya wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

View attachment 468005

Watuhumiwa hao wameshushwa nyuma ya majengo ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu huku baadhi ya wakijifunika nyuso zao kukwepa camera za mapaparazi...
SURA ZAO MUBASHARA WAKIWA HAWANA MIKOROGO WALA MAKE UP
1.WENGINE KUMBE NI WAZEE LAKINI KWENYE VIDEO WANAONEKANA VIGORI

2. KAMA ILIKUWA NI SHERIA WAKIWA MAHAKAMANI AU POLISI WAVUE MAWIGI NDIO TUNGEONA NA MVI
 
Viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu vimesheheni wazazi,walezi,wapenzi,waandishi na mashabiki wa watuhumiwa wa madawa ya kulevya wanaotarajia kupandishwa kizimbani hivi punde.

Kati yao,yupo mlimbwende,msanii na Miss Tanzania wa zamani Wema Sepetu. Mawakili wamejitokeza kwa wingi na kwa ari kubwa. Ingawa nipo hapa kwa shughuli zangu binafsi,nitaarifu nitakachokipata. Taarifa zaidi zitafuata.
poleni malipo hapa hapa Duniani mmekula musivyovijua
 
Viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu vimesheheni wazazi,walezi,wapenzi,waandishi na mashabiki wa watuhumiwa wa madawa ya kulevya wanaotarajia kupandishwa kizimbani hivi punde.

Kati yao,yupo mlimbwende,msanii na Miss Tanzania wa zamani Wema Sepetu. Mawakili wamejitokeza kwa wingi na kwa ari kubwa. Ingawa nipo hapa kwa shughuli zangu binafsi,nitaarifu nitakachokipata. Taarifa zaidi zitafuata.

Leo tunawatafuta akina Kibatala na Lissu kokote walipo
 
Mahakamani unaingia kichurachura? mmmh MUNGU anisaidie nisifanye kosa.
lile ni pozi la kusubiriana mnaposhuka kwenye karandinga na mkionekana mnasura ngumu ndio mnapigwa pingu miguuni ila hao ndizi nyama wameachiwa tu maana wamejileta wenyewe.....ila sijaelewa huyo tozi hapo anakidani au hakulala ndani kaibuka kituoni asubuhi hii....
 
Viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu vimesheheni wazazi,walezi,wapenzi,waandishi na mashabiki wa watuhumiwa wa madawa ya kulevya wanaotarajia kupandishwa kizimbani hivi punde.

Kati yao,yupo mlimbwende,msanii na Miss Tanzania wa zamani Wema Sepetu. Mawakili wamejitokeza kwa wingi na kwa ari kubwa. Ingawa nipo hapa kwa shughuli zangu binafsi,nitaarifu nitakachokipata. Taarifa zaidi zitafuata.
sawa mkuu,tunasubiri mrejesho mubashar
 
Back
Top Bottom