Dawa za kulevya: Viongozi wa dini sasa wajisalimisha; Wakiri kufanya biashara hiyo muda mrefu

Watu wanaweza kusema mengi, lakini nadhani matatizo yote haya yameletwa na serikali hasa kuchukua misingi mibovu iliyopo ndani ya ccm. Nasema hivi kwa sababu, seheria za nchi haziangalii cheo chochote cha mtu au nafasi yake kumpa nafasi ya kutenda uhalifu. "Hakuna nafasi kabisa kuwa atavua gamba". Sio kweli kuwa mwizi atapalekwa tu kwenye sheria andapo ni mtu mdogo ("minor"). Hii imedhihirika sana sehemu nyingi, na bahati mbaya hata wahanga wa wananchi kujichukulia sheria mkononi ni hawa hawa wasiokuwa na nafasi (say) ndani ya jamii. Kweli leo hii hao wanaoitwa majina yote mabaya kwa kulifikisha taifa hapa, wananchi wasingekuwa wamechukua sheria mikononi juu yao? Sasa hii janja ya ccm na serikali yake kutokusimamia haki ndio inayoifikisha nchi mahali pabaya, na matokeo yake kutafuta visingizio vya kipuuzi kama hivi vya kuotojana na wala kutowafikisha mbele ya vyombo vya seheria. Ieleweke, MHALIFU NI MHALIFU TU, bila kujali wadhifa wake au nafasi yake ndani ya chombo chochote cha kiserikali au kijamii.

Hizi double standards zitaisha lini? ndizo zinazolimaliza taifa hili! Shule kuanzai chakechea, afya, polisi, mahakama n.k ni double double, sasa hata makanisa na misikiti naona navyo vitakuwa double double

TZ bado ni nchi inayoendeshwa na vigogo. Vigogo hawapelekwi mahakamani. Sasa hawa viongozi waliokamatwa ni vogogo wakubwa wa Makanisa hapa TZ, lakini pamoja na rais kuwa na majina yao, kuna mpango nashaka wa kusamehee kutokana na sensitive ya issue ya kidini, kwa sababu Rais ni Muislamu na hawa waliokamatwa ni viongozi wa dini ya Kikiristo.
 
Wataje au ondoa uchafu jamvini. Akina RACHEL wanateswa sana. Kila mmoja ana haki yake hakuna cha kiongozi wa--------

sasa unataka hii mada isijadiliwe au vipi? au wewe ni mmoja wa hao viongozi wa dini?
 
MIMI NINAULIZA.

1) Je hii habari ya ukweli au la?

2) Kama ni ya uongo na ni siasa; ni nani mkosa? Mhariri, Polisi?

3) JK anahusika vipi na hii?

Naomba majibu yatakoyonielimisha hayo maswali yangu.

Hizi ni habari za kweli kabisa.
JK ndiye aliyesababisha kukamatwa kwa hawa wauza unga ambao ni viongozi wa dini. Alikuwa na majina siku nyingi tu, lakini naona kaamua kuwatosa hawa viongozi wa dini.
 
majina mengine tunayo mke wa mkuu wa nchi anauza kaa njugu mawe akishirikiana na mama getrudi lwakatare tunazo taarifa muda mrefu sana
 
majina mengine tunayo mke wa mkuu wa nchi anauza kaa njugu mawe akishirikiana na mama getrudi lwakatare tunazo taarifa muda mrefu sana

Sasa hiyo habari inahusiana na hii kivipi? Hawa ni Viongozi wa Kikiristo wanaouza Madawa ya Kulevya, swali la kujiuliza, kwanini wanatumia hela za Unga kujenga Makanisa au shule za Saint? na kwa nini zinaitwa saint wakati hela ni za unga?
 
Back
Top Bottom