Dawa za kisunna zinasaidia kweli?

ween

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
414
128
Msaada ndugu zangu, hizi dawa za kiislam za kisunna kwa mliowahi zitumia ni kweli zinasaidia?
 
Unaitumiaje na inauzwaje?
9fb5e0ac8abbb0e1160ccb2588c31280.jpg

Inauzwa kwa bei ya elfu tano chupa hiyo, ipo ndogo yake bei ya elfu 4.... hapo ni kwa Dar mikoa mengine nasikia ghali.

Hayo ni mafuta unakunywa kijiko kimoja cha chai asubuhi baada ya chai sio kabla na usiku baada ya chakula sio kabla.

Aiseee hautajuta nakuapia, nina ushuhuda nayo sana mafuta haya ni mkombozi wa familia yetu.

Lakini pia kun unga wake, mimi ulinishinda mkali sana nikitumia napata kizungu zungu hadi kutapika japo wanasema kutapika au kuharisha ndio tiba yenyewe.
 
Inapatikana sehemu gani kwa dar?
 
Naomba tuition kuhusu hii
Habbat soda ina sifa hizi:

Huondoa bakteria mwilini
Huondoa uvimbe
Huondoa sumu mwilini
Inaondoa fangasi
Inatibu kansa
Inatibu pumu
Inadhibiti kazi za histamini
Inaua virusi
Inazuia damu kuganda

Vitu viwili mhimu zaidi ambavyo mafuta haya yanavyo ni ‘thymoquinone’ na ‘thymohydroquinone’.

More information plz visit google.

Ni Mkombozi wa Familia yangu yaani sasa hivi hospital tunafata vipimo tu lakini mambo yote black seed na garlic.
 
Asante sana

Kuna mtu niliona anasumbuliwa na kubanwa na pumzi naye akawa anayatumia but sikuyaelewa vema. I'll Google for more details
 
Naam pumzi/Pumu,
wale wa kisukari dawa wanatumia hiyo,
gesi kujaa tumboni,
matatizo ya kizazi na uzazi,
mafua, malaria, UTI,
HIV-ref: inaua virus,

Many many more.
Pia unaweza ukaitumia kama Tiba at the same time ukaitumia kama Kinga ya magonjwa mbalimbali maana unajua binaadam hatuishi mambo.

kuna bidhaa zake pia kama Sabuni, lotion n.k.
 
9fb5e0ac8abbb0e1160ccb2588c31280.jpg

Inauzwa kwa bei ya elfu tano chupa hiyo, ipo ndogo yake bei ya elfu 4.... hapo ni kwa Dar mikoa mengine nasikia ghali.

Hayo ni mafuta unakunywa kijiko kimoja cha chai asubuhi baada ya chai sio kabla na usiku baada ya chakula sio kabla.

Aiseee hautajuta nakuapia, nina ushuhuda nayo sana mafuta haya ni mkombozi wa familia yetu.

Lakini pia kun unga wake, mimi ulinishinda mkali sana nikitumia napata kizungu zungu hadi kutapika japo wanasema kutapika au kuharisha ndio tiba yenyewe.
nimejifunza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom