Inasaidia kwenye nini?Habat sauda a.k.a blackseed.... sijawahi kujutia kabisaaa.
Sasa hivi nakunywa kwa mazoea tu siwezi kukaa siku mbili bila kuinywa.
Magonjwa mengi sana karibu yote.Inasaidia kwenye nini?
Unaitumiaje na inauzwaje?Magonjwa mengi sana karibu yote.
Kwa tatizo gani? Siyo kila tatizo wala siyo kwa kila mtu.Msaada ndugu zangu, hizi dawa za kiislam za kisuna kwa mlio wai zitumia nikweli zinasaidia?
Naomba tuition kuhusu hiiHabat sauda a.k.a blackseed.... sijawahi kujutia kabisaaa.
Sasa hivi nakunywa kwa mazoea tu siwezi kukaa siku mbili bila kuinywa.
Unaitumiaje na inauzwaje?
Inapatikana sehemu gani kwa dar?
Inauzwa kwa bei ya elfu tano chupa hiyo, ipo ndogo yake bei ya elfu 4.... hapo ni kwa Dar mikoa mengine nasikia ghali.
Hayo ni mafuta unakunywa kijiko kimoja cha chai asubuhi baada ya chai sio kabla na usiku baada ya chakula sio kabla.
Aiseee hautajuta nakuapia, nina ushuhuda nayo sana mafuta haya ni mkombozi wa familia yetu.
Lakini pia kun unga wake, mimi ulinishinda mkali sana nikitumia napata kizungu zungu hadi kutapika japo wanasema kutapika au kuharisha ndio tiba yenyewe.
Nenda Kariakoo stand ya mabasi ya Kawe na Tegeta, yaan maeneo ya sokoni kuna maduka ya dawa za asili mengi sana, hapo ndio unanunua.Inapatikana sehemu gani kwa dar?
Habbat soda ina sifa hizi:Naomba tuition kuhusu hii
Habbat soda ina sifa hizi:
Huondoa bakteria mwilini
Huondoa uvimbe
Huondoa sumu mwilini
Inaondoa fangasi
Inatibu kansa
Inatibu pumu
Inadhibiti kazi za histamini
Inaua virusi
Inazuia damu kuganda
Vitu viwili mhimu zaidi ambavyo mafuta haya yanavyo ni ‘thymoquinone’ na ‘thymohydroquinone’.
More information plz visit google.
Ni Mkombozi wa Familia yangu yaani sasa hivi hospital tunafata vipimo tu lakini mambo yote black seed na garlic.
Kuna mtu niliona anasumbuliwa na kubanwa na pumzi naye akawa anayatumia but sikuyaelewa vema. I'll Google for more detailsHabbat soda ina sifa hizi:
Huondoa bakteria mwilini
Huondoa uvimbe
Huondoa sumu mwilini
Inaondoa fangasi
Inatibu kansa
Inatibu pumu
Inadhibiti kazi za histamini
Inaua virusi
Inazuia damu kuganda
Vitu viwili mhimu zaidi ambavyo mafuta haya yanavyo ni ‘thymoquinone’ na ‘thymohydroquinone’.
More information plz visit google.
Ni Mkombozi wa Familia yangu yaani sasa hivi hospital tunafata vipimo tu lakini mambo yote black seed na garlic.
Naam pumzi/Pumu,Kuna mtu niliona anasumbuliwa na kubanwa na pumzi naye akawa anayatumia but sikuyaelewa vema. I'll Google for more details
nimejifunza
Inauzwa kwa bei ya elfu tano chupa hiyo, ipo ndogo yake bei ya elfu 4.... hapo ni kwa Dar mikoa mengine nasikia ghali.
Hayo ni mafuta unakunywa kijiko kimoja cha chai asubuhi baada ya chai sio kabla na usiku baada ya chakula sio kabla.
Aiseee hautajuta nakuapia, nina ushuhuda nayo sana mafuta haya ni mkombozi wa familia yetu.
Lakini pia kun unga wake, mimi ulinishinda mkali sana nikitumia napata kizungu zungu hadi kutapika japo wanasema kutapika au kuharisha ndio tiba yenyewe.
yanakuza nywele pia shoga.pia sabuni yake ni nzuri sana kuogeanimejifunza