Dawa za kichina zikikukataa mambo yanaweza kuwa kama haya (no offence plz)

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Dawa za kichina zikikukataa mambo yanaweza kuwa kama haya (no offence plz)

i1087_1.jpg

duhuu!
ila zingemkubali angekuwa na mahipps ya kufa mtu...
poleni wale mnaomkosoa Mungu.
 
This picture is very marvelous, i like it. Ila hatari ipo hapo mbele kwa watoto wetu kwani hizi dawa zinaweza kubadili genes za watumiaji hivyo watoto wao wanaweza kuwa half watu half ...................... jamani Mwacheni MUNGU AITWE MUNGU na kazi ya MUNGU haina makosa, ukikosoa ndo unakuwa hivyo.
 
mdau embu chungulia 'signature' yako? kununue/kununua? halafu ua/au????
 
Unasema kweli Mkuu Fidel80 Au ni Uzushi mtupu? Tuonyeshe basi kama unaasema kweli Vitu kama hivyo vipo Zenji tetetehe

Hahahaha una maana huamini? We nenda pale Unguja pitia club kwa Rajju au Wajela jela au nenda pale Gymnkana kula mingo pale uone mitoto ya kizenji inavyo ingia kuanzia mida ya saa 3.30 usku na kwendelea.
 
natamani nimshauri awe anavaa madira tu......
 
Huyo inaonyesha alikuwa ni mnyanyua vitu vizito!

Si kweli! ukipiga nondo/lifting wait huwezi kuwa hivyo hata kama ulikuwa unapiga kwenye wrong way.... wamarekani wengi wako hivyo wala sio dawa za kichina
 
Mmmmmmmmmmmmmmmmmm!!!!!!!!!!!!!!!!!! mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
Hizi dawa bwana hivi na wanaume wanatumia dawa hizo?
 
Back
Top Bottom