Dawa za dharura za kuzuia mimba (Emergency contraception pills)

inspectorbenja

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
492
416
Wadau habari.
Naombeni msaada wa kitalaam wa kitabibu.Wife alikuwa katika siku zake za hatari nilipohesabu kalenda ilikuwa ni siku ya 14.Nikatumia condom maana tunapanga uzazi ile namaliza tendo nacheki kondom kumbe imepasuka na mbegu zimeishia humo humo.Ilikuwa ni saa 5 usiku.Kulipokucha nikawahi kununua emegency contraception pill inaitwa P2 akameza viwili kama nilivyoeolekezwa na Dr.
Je wadau itasaidia asishike ,na ntajuaje dawa imefanya kazi.
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba msaada.
 
Ucwe na shaka zitafanya kazi kwani unatakiwa ndani ya masaa 72 awe amekunywa bt muda utapozidi % ya uwezekano wa kuzuia mimba inapungua.
 
Ka-sperm kamoja kenye kiherehere si ajabu kameshajigeuza Michael Phelps kameshapiga mbio kakazipita fallopian tubes kwa mbwembwe na sasa kapo kametulia kwenye yai kanachekelea tu. Jiandae kulea mkuu na katoto haka kalikosavaivu spermicide si ajabu ndo kakawa jiniazi balaa na hata kukufanyia makubwa uzeeeni. Usisikitike mkuu bali chukulia ni mibaraka ya Mungu!
 
Kama ni mkeo then hapo mimba hakuna ... ungekuwa mchepuko ningekuambia anza tu kwenda kwa babu. Kwenye ndio, mimba lazima uzitolee jasho kidogo .... kuwa na amani
 
Back
Top Bottom