"Dawa Ya WAVIVU wa Afrika Tunayo" MUSEVEN

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Hiyo ndio salamu aliyotoa muda mfupi uliopita wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Kenya!

Interestingly hotuba ya salamu zake imejaa mafumbo aliyoelekezwa kwa aliowaita "MABEBERU wa Magharibi" na "WAVIVU WA AFRIKA".
 
dah! mbona maneno ya khanga tenaa ||| hawa jamaa still bado wanahasira kweli na tanzania although baadhi ya misemo ina mantiki fulani but there heart are still not clean at all<museveni+kagame>
 
Mmoja wapo ni vasco. Mvivu wa kufikiri,kutenda na mpenda starehe na kujikomba
 
Hiyo ndio salamu aliyotoa muda mfupi uliopita wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Kenya!

Interestingly hotuba ya salamu zake imejaa mafumbo aliyoelekezwa kwa aliowaita "MABEBERU wa Magharibi" na "WAVIVU WA AFRIKA".

Amesema uvivu wa Afrika dawa tunayo.Sijui dawa ni "fast tracking" ama "muungano wa waliotayari "....?..... mi sijui...Kweli CCM na Kikwete kaeni mkao wa kujitambua kuwa Tanzania tumezungukwa na maadui.reconciliation iliyofanywa na kenya ni kunusuru interest na wafanya biashara wake hapa TZtu.Haitoki rohoni hata kidogo.
 
Back
Top Bottom