Dawa ya wapinzani ni kuwapora viti vyote 2020 kuwapa CCM ili watuheshimu wananchi

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,449
9,372
Ukiangalia jinsi wananchi waliojitoa mhanga kupoteza maisha yao, mali zao kupigania mageuzi halafu ghalfa mtu unasikia narudi CCM, inauma sana, ukiangalia Mh. Mbatia, Lipumba na Maalim Seif walivyoenda kunywa chai ikulu, halafu Mbatia anatoka hapo anaanza vitu vya ajabu kwa wapinzani wenzie, inatia hasira sana. Ukiangalia jinsi Zitto alivyom-snitch kigogo2014 inatia hasira sana.

Hawa watu dawa yao 2020 ni kuwapora viti vyote udiwani mpaka ubunge tuwape CCM tu halafu tuone je huo usaliti wao wataufanyia wapi, nani atawajali tena ikiwa wananchi washawapuuzia kiukweli inauma sana
 
Mnaweza... Ila siyo kwenye fair ground.

Ndio maana tume huru ya uchaguzi mnaiona kama Corona.
Ukiangalia jinsi wanainchi waliojitoa mhanga kupoteza maisha yao, mali zao kupigania mageuzi alafu galfa mtu unasikia narudi CCM, inaua sana, ukiangalia Mh. Mbatia, Lipumba na Maalim Seif walivyoenda kunywa chai ikulu, alafu Mbatia anatoka hapo anaanza vitu vya ajabu kwa wapinzani wenzie, inatia hasira sana. Ukiangalia jinsi Zitto alivyom-snitch kigogo2014 inatia hasira sana.

Hawa watu dawa yao 2020 ni kuwapora viti vyote udiwani mpaka ubunge tuwape ccm tu alafu tuone je huo usaliti wao wataufanyia wapi, nani atawajari tena ikiwa wanainchi washawapuuzia kiukweli inauma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mpaka sasa sijui Mbatia nani kamloga. Zitto sishangai sana maana sijawahi kumuamini. Kwenye maslahi mapana ya nafsi yake hanaga utani. Kikubwa naona Yericko Nyerere ameshachukua point zake 3 kwa unabii wake aliposema tusimuamini Zitto.

Na ndio kwa ujinga huu mtaisikia ikulu na kujaza thread humu

Zitto is real deal,

Huyo Yericko anafanya nini upinzani ambacho weee unaona na kushuhudia?

Sidhanj kama mama yako alikuzaa kuwa mjinga hivi
 
Ila mpaka sasa sijui Mbatia nani kamloga. Zitto sishangai sana maana sijawahi kumuamini. Kwenye maslahi mapana ya nafsi yake hanaga utani. Kikubwa naona Yericko Nyerere ameshachukua point zake 3 kwa unabii wake aliposema tusimuamini Zitto.
Mbatia kaamua kuvaa uhalisia wake halisi, kuwa yeye alikuwa ni pandikizi ndani ya upinzani.

In God we Trust
 
Ukiangalia jinsi wanainchi waliojitoa mhanga kupoteza maisha yao, mali zao kupigania mageuzi alafu galfa mtu unasikia narudi CCM, inaua sana, ukiangalia Mh. Mbatia, Lipumba na Maalim Seif walivyoenda kunywa chai ikulu, alafu Mbatia anatoka hapo anaanza vitu vya ajabu kwa wapinzani wenzie, inatia hasira sana. Ukiangalia jinsi Zitto alivyom-snitch kigogo2014 inatia hasira sana.

Hawa watu dawa yao 2020 ni kuwapora viti vyote udiwani mpaka ubunge tuwape ccm tu alafu tuone je huo usaliti wao wataufanyia wapi, nani atawajari tena ikiwa wanainchi washawapuuzia kiukweli inauma sana
Rejesho huru la bangi Akwilina akipigwa risasi na Lisu haitii hasira sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rejesho huru la bangi Akwilina akipigwa risasi na Lisu haitii hasira sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wanatudharau wapinzani kwakua wao ndio viongozi wakiitwa tu wanaenda kukaa meza moja wanakuja tuhadaa dakika za mwisho unakumbuka mwaka 2015 mda ambao lipumba na dr slaa alisaliti UKAWA ndio maana nasema inatakiwa tuwaadhibu kwa mtundo huu wajue nguvu yetu wanainchi
 
Fisi hasusiwi mzoga

Jr
Bora ujue mzoga fisi aule kuliko kukaa na mzogo ambayo hauna thamani, wewe angalia jinsi wapinzani wanavyotufanya hii inchi mageuzi yalikuwa tayali tatizo viongozi uko juu tamaa ya vyeo na pesa imewagawa wao kwa wao wanasalitiana, I dont trust kwa zitto kabwe, wala mbowe pengine tundu lisu alikuwa na ukweli anachosimamia na walijua hilo wapinzani wake kuwa huyu ana true colour ya upinzani hawa wengine wanafiki wapo kutetea matumbo yao bora tujue tuna chama kimoja kinachotunyanyasa ili mageuzi yatokee humo humo au kwa wanainchi si kwa vyama vya upinzani kwanza wote sasa washaufyata wapo kusubilia sm nk

Wanaharakati wamejitahidi andika maandiko mpaka dunia ikajua kuna nini uku matokeo yake dunia inatutizamna na watawala wamejua hilo wamerudi kwenye biashara yao ile ile ya mkwele yakuitwa kunywa chai mjengoni
 
Tatizo wanatudharau wapinzani kwakua wao ndio viongozi wakiitwa tu wanaenda kukaa meza moja wanakuja tuhadaa dakika za mwisho unakumbuka mwaka 2015 mda ambao lipumba na dr slaa alisaliti UKAWA ndio maana nasema inatakiwa tuwaadhibu kwa mtundo huu wajue nguvu yetu wanainchi
Nimekuuliza risasi za Lisu hazikuumi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom