Dawa Ya Waizi Wa Simu Za Mikononi Hii Hapa

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Lock.JPG Hii inatosha kabisa kuzibiti waizi wa simu za mikononi!
 
Kwanza kufuli ni kubwa sana,pili ukipigiwa simu mpaka umefungua kufuli ishakatika.
 
Hii haiwezi saidia. Mbona wezi watakupigia, na ukipokea tu, waikwapue?
Niliwahi kucheka sana badala ya kusikitika,kwenye mzunguko wa msimbazi kuna sista alikuwa anaongea na simu kwenye dirisha la daladala kijana akamvizia na kuikwapua akisema kwa sauti 'we sista vipi mbona unamaliza credit niache na mimi kidogo'.
 
imagine the key gets lost,what should he do?it shows that the cost of locking the mobile phone is more expensive than leaving it freely
 
aaahh..hamna kitu hapo. kwanza unaongeza thamn ya vitu vya kuiba hapo, hilo kuful litauzwa kwa bei yake, hako kapoch kana bei pia.wataibaje. wanaweza kupita wakakwapua na huo mkanda au wakakukamata kichochoron ukawavulia wewe mwenyewe na kuwa funguo na kaka una pesa kwenye atm pia utawapekea sabab utakuwa umewapotezea muda mwng na hako kakuful kako.
 
Roba ya ubao wa misumari na kiwembe tosha kuchukuwa hiyo simu!!kwanza simu yenyewe 3310 Nokia gharama yake ni sawa na kufuri aliloweka!!Nani aibe??
 
Back
Top Bottom