Je anaweza tumia mtoto chini ya mwaka mmoja!?VUMTREX SYRUP KWA JINA JINGINE INAITWA LEVAMISOLE HCL kwa ujumla ni salama na effective kwa minyoo aina ya nematoda inafanya minyoo wana kufa ganzi na pia inatabia ya kuchochea kinga za mwili kutolewa. kwa upande mwingine huwa ina madhara kama
kutapika
kuharisha
kukoswa hamu ya kula
allergy
Hairuhusiwi kutumiwa kwa mtu mwenye
ugonjwa wa ini
kifafa
ujauzito
mywaji wa pombe
cha msingi onana dactari
pia hutumika mara nyingi kutibu minyoo kw wanyama na samaki
na ni dawa inayotibu cancer