Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Tanga ="GUI, post: 18651831, member: 393297"]Kwahiyo mkuu saizi unatumia hata soda na maharage?[/QUOTE]
Tangia mwezi wa Tisa nagonga vitu vote
 
  • Thanks
Reactions: GUI
Tambua Kwanza nini tatizo la vidonda vyako? Bacteria au Acid?
Ndo naweza kukupa ushauri unaoweza komesha hilo tatizo
 
Tambua Kwanza nini tatizo la vidonda vyako? Bacteria au Acid?
Ndo naweza kukupa ushauri unaoweza komesha hilo tatizo
Mkuu najuaje sasa hapo? Maana mimi nimepima kwa kupiga x- ray, kwenye damu nilipima hakuna kitu
 
Habari ndugu wana bodi!!!

Najua hili huenda litakuwa lilishawahi kuulizwa hapa lakini na mimi na penda kuuliza maana nimegundulika kuwa na hili tatizo, nimepewa dawa ya kutumia inaitwa HERIGO na nimeaza kuitumia.

Kinachonipa wasiwasi ni kuwa watu wengi nilioongea nao wenye hili tatizo wanadai wametumia dawa nyingi lakini hawajapona na nyingi ni kwa ajili ya kupooza tu maumivu.

Sasa naomba kwa wataalamu wa haya mambo mtujuze kuna dawa inayotibu kabisa? Na kama ipo ndio hiyo niliyopewa au ni nyingine? Na kama ni nyingine inaitwaje?
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Kula kabichi kwa wiki 2 mfululizo. Unaweza kula bichi, kutengeneza juice, salad, kulipika kama mboga. Unaweza kula pekee au kuchanganya na mboga nyengine kama carrots. Kula Ndizi mbivu. Maziwa ya Mbuzi. Epuka alcohol na sigara kama unatumia.

Mkuu hapo kwenye ndizi mbivu mbona balaa? Mimi nikila ndo vidonda vinachachamaa.
 
Kuwa tu makini,usile vitu vyenye uchachu hata kidogo,na vitu vinavyo leta gesi tumboni,kunywa maji mengi asubuhi kabla ya kula chochote bx.
 
A walk mbichi mwisho wa mchexzo...alambe vijiko 2 vikubwa asubuhi masaa 2 kabla hajanywa chai asubuhi ....na jion kabla ya kula msos wa usiku kwa mda wa wiki 3-4
 
Back
Top Bottom